Uhuru Stationery

Uhuru Stationery Office Stationeries, Computers, Computer Accessories, Photocopier Accessories, Flyers, Bronchures, P Stationeries & Computer Accessories

18/05/2024

"Friends create comfort,but enemies create movement"

10/03/2024

*PICHA CHAFU FACEBOOK.*

Ndugu zangu, kumekuwa na muendelezo wa watu kuwa tagged na video za ngono kwenye mtandao wa Facebook kwa siku za karibuni. Jambo hili limezua sintofahamu miongoni mwa jamii.

Ili kuepuka kuwa tagged kwa video au picha chafu, fanya yafuatayo:

Ingia kwenye Settings ya Facebook Account yako kisha nenda Audience and Visibility halafu nenda Profile and Tagging.

Ukishafika hapo Profile and Tagging utakuta kuna machaguo mawili la kwanza linahusu Viewing and Sharing.

Kwenye 'Who can post on your profile' chagua 'Only Me' vivyo hivyo kwenye 'Who can see what others post on your profile' chagua 'Only Me.'

Pia, kwenye Tagging lile chaguo la kwanza lililoandikwa, 'Who can see posts you're tagged in on your profile' chagua 'Only Me'.

Aidha, pale kwenye option ya 'When you're tagged in a post, who do you want to add to the audience of the post if they can't already see it' napo chagua 'Only Me.'

Sharing is caring.
Mfahamishe na mwenzako.

15/01/2024

Wauzaji wa stationery kwa jumla na rejareja

Karibu
15/01/2024

Karibu

09/03/2020

Uhuru Stationery ni wauzaji wa stationery kwa Jumla na rejareja, ofisi yetu ipo Geita Mjini karibu kabisa na New RK Supermarket, Tunauza aina zote za Stationery za Maofisini na Shuleni, k**a vile, Mafaili aina zote, Wino za Printa na fotokopi, Daftali aina zote, Kadi za Harusi, sendoff na mialiko mbalimbali, vyote vinapatikana kwa bei nafuu kabisa.
*Pia kwa mahitaji ya Printa aina zote, photocopier aina zote, Laptop na Desktop tuna mtaalam ambaye atakushauri kupata kifaa kitakachokidhi mahitaji yako.
*Tunauza pia tra rolls aina zote kwa bei poa kabisa
Karibu sana tukuhudumie
Mawasiliano
0763 660 477
0763 205 233

Karibu Uhuru Enterprises, tunapatikana Geita Mjini maeneo ya standi ya zamani , tunatoa na huduma zifuatazo1. Uuzaji wa ...
10/08/2018

Karibu Uhuru Enterprises, tunapatikana Geita Mjini maeneo ya standi ya zamani , tunatoa na huduma zifuatazo
1. Uuzaji wa vifaa vya Shuleni na Ofisini.
2. Huduma ya printing na photocopy
3. Business cards Design
4. Utengenezaji wa Kadi za Harusi
5. Kutengeneza vitambulisho
6. Flyers design and printing
7. Bronchures design and printing na huduma zingine nyingi.
Huduma zetu na nafuu na zenye ubora, karibu tukuhudumie
Karibu sana
Mawasiliano: 0763 660 477 / 0752 034 576 / 0623 070 236

Kwa ma

Kwa mahitaji ya kadi kwa ajili ya Harusi na sherehe mbali mbali, Uhuru Enterprises (Uhuru Stationery) ndiyo suluhisho la...
18/07/2018

Kwa mahitaji ya kadi kwa ajili ya Harusi na sherehe mbali mbali, Uhuru Enterprises (Uhuru Stationery) ndiyo suluhisho lako, tunauza kwa jumla na rejareja.

Mawasiliano: 0763 660 477 / 063 070 236
Tupo Geita Mjini karibu na Rk Supermarket

Karibu kwa Mahitaji yako ya kadi, tunauza kadi kwa bei ya jumla na rejareja, pia tunatoa huduma ya kutengeneza kadi za h...
25/04/2018

Karibu kwa Mahitaji yako ya kadi, tunauza kadi kwa bei ya jumla na rejareja, pia tunatoa huduma ya kutengeneza kadi za harusi kulingana na mahitaji yako kwa ubora wa hali ya juu, tuna wataalam wenye uzoefu wa graphics design.
Pia tunatoa huduma zifuatazo
Kutengeneza business cards, flyers, bronchures, ID cards, posters na uuzaji wa stationeriea jumla na reja reja.
Mawasiliano 0763 660 477 / 0623 070 236

MZIGO MPYA WA KADI ZA HARUSI UMEINGIA KARIBUNI SANA UHURU STATIONERY UWEZE KUJIPATIA KADI PAMOJA NA HUDUMA YA KUCHAPA NA...
24/03/2018

MZIGO MPYA WA KADI ZA HARUSI UMEINGIA KARIBUNI SANA UHURU STATIONERY UWEZE KUJIPATIA KADI PAMOJA NA HUDUMA YA KUCHAPA NA KUPRINT KADI KWA BEI NAFUU.
UNAWEZA KUTUPATA KWA MAWASILIANO YAFUATAYO
0763 660 477 /0752 034 576
Tupo Geita Mjini, Standi ya zamani karibu na RK Supermarket.

Address

Geita

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 08:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uhuru Stationery posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share