04/23/2025
Hariri
Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la mbuga na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na nchi ya Kenya. Jina Serengeti limechukuliwa kutoka lugha ya Kimasai hasa: "Serengit" humaanisha "Kiwara kisichoisha".Kuna simba 3000
hariri
Sehemu kubwa wa Serengeti hapo awali ilijulikana k**a Maasailand kwa wageni.
Wamasai walijulikana k**a shujaa wakali, na waliishi pamoja na wanyamapori huku wakila mifugo yao pekee.
Nguvu zao na sifa zilisababisha wasafiri kutoka Ulaya kutotumia wanyama na rasilimali ya nchi yao vibaya.
Janga la "rinderpest" na ukame wakati wa 1890 ulisababisha kupungua kwa idadi ya Wamasai na wanyama. Uwindaji haramu wa wanyamapori na ukosefu wa moto, ambayo yalikuwa matokeo ya shughuli za binadamu, yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo.
Uongezekaji wa chafuo sasa ulisababisha kutokuwa kwa makazi ya binadamu katika eneo hili.
Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. [3]
Mnamo miaka ya 1960, idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudi na Wamaasai ili kuongeza eneo ya malisho ya mifugo, au kwa ajali, ulisababisha kuchomeka kwa miche mipya ya miti.
Mvua nzito ilichangia ukuaji wa majani, ambao ulikuwa k**a mafuta kwa moto wakati wa misimu mikavu ifuatayo. Miti mizee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, ilianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti michanga na mizee, walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio yalionyesha kulikuwa na sababu nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka 1970 hadi 467 katika mwaka 1986 kutokana na uwindaji haramu. [4]
Mnamo miaka ya 1970 idadi ya nyumbu na nyati wa Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa kasi, na kusababisha upungufu wa mafuta ya kusambazaa moto. [5] kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena. [3]
Hifadhi ya mazingira
hariri
Bara la Maasai lina mb