Kipande cha asili herbals

Kipande cha asili herbals Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kipande cha asili herbals, Mobile Phone Shop, California City, CA.

Oneni k**a pow,Walikuta babu zenu hawana mafuta ya madukani ya viwandani wala maziwa ya kopo wakawa wanapika vyakula vya...
06/23/2026

Oneni k**a pow,
Walikuta babu zenu hawana mafuta ya madukani ya viwandani wala maziwa ya kopo wakawa wanapika vyakula vyao kwa N**i na kunywa maji yake, wakawauliza mbona mnatumia N**i kwenye milo na vinywaji vyenu kila siku!
Oneni k**a pow,
Wazee wenu wa kiafrika wakajibu N**i kwenye mlo na miili yenu:

_ Husaidia kuongeza kinga ya mwili kupambana na bakteria na virusi
_ Kuzuia na kutibu matatizo ya mfumo wa kusaga chakula
-Kuzuia kukauka kwa ngozi na kuifanya ing'ae na kuwa laini
_Kuzuia uharibifu wa nywele na kuzifanya zikue kwa afya
- Kuzuia uchovu na kuupa mwili nguvu ya haraka (healthy fats)
-Kusaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini
-Kuzuia upungufu wa maji mwilini (maji ya dafu yana madini mengi)
-Kuchochea utendaji kazi mzuri wa ubongo na kumbukumbu

Oneni k**a pow,
Wazungu wakawauliza Tena, wazee wenu ipi tofauti ya N**i nayo wazee wenu wakajibu hivi:
1). N**i inayokunwa na kuachwa wazi juani au hewani hadi ikachacha, au yale mafuta ya n**i yaliyochanganywa na kemikali za viwandani ili yanukie vizuri, hiyo imepoteza nguvu zote za tiba na inakuwa sumu mwilini. Ila ile n**i mbichi inayotolewa kwenye ganda lake na kukuliwa hapo hapo, au mafuta safi ya n**i yaliyokamuliwa kienyeji bila kuchemshwa (Virgin Coconut Oil), hiyo ndio siri ya asili na ndio tiba iliyokamilika.
2). Tiba ya N**i sio tu kuleta ladha na unono kwenye chakula, bali mafuta yake (Lauric Acid) yanaponya na kusafisha kuta za matumbo na kuzuia vidonda vya tumbo. Ila kwa tafadhali sana, ukichemsha tui la n**i kwa moto mkali sana hadi likakatika na kutoa mafuta mazito yaliyoungua, hapo unaharibu virutubisho vyake vya asili na kubakiza mafuta mabaya, hivyo inatakiwa tui liwekwe mwishoni mwa mapishi au n**i itumiwe ikiwa mbichi ili isipoteze nguvu yake ya tiba.
Kwa msaada zaidi piga namba hii 0762 286 282 / DR WILLIAM CLINIC TANZANIA
------------------------------

Oneni k**a pow,Walikuta babu zenu hawana viungo vya kisasa vya viwandani wakawa wanapika chakula na kuweka Pilipili Mang...
06/23/2026

Oneni k**a pow,
Walikuta babu zenu hawana viungo vya kisasa vya viwandani wakawa wanapika chakula na kuweka Pilipili Manga na kula, wakawauliza mbona mnaweka Pilipili Manga kwa vyakula na vinywaji vyenu!
Oneni k**a pow,
Wazee wenu wa kiafrika wakajibu Pilipili Manga kwenye mlo:

-Husaidia kuamsha mmeng'enyo wa chakula
-Kuzuia na kuondoa gesi tumboni
-Kuzuia kikohozi na mafua ya kawaida
-Kuzuia makohozi kifuani
-Kuzuia uvimbe mwilini
-Kusaidia mwili kufyonza virutubisho vya vyakula vingine
-Kuzuia uharibifu wa seli (ina antioxidants)
-Kuchochea mwili kuchoma mafuta ya ziada
Oneni k**a pow,
Wazungu wakawauliza Tena, wazee wenu ipi tofauti ya Pilipili Manga nayo wazee wenu wakajibu hivi:

Pilipili Manga iliyosagwa tayari ikakaa muda mrefu hadi ikapoteza ule harufu yake kali na ladha ya kuwasha, hiyo imepoteza nguvu ya mafuta yake ya asili (piperine) na haina tiba tena. Ila zile mbegu nzima za duara nyeusi ambazo un**isaga mwenyewe wakati wa matumizi, hiyo ndio siri ya asili na ndio tiba iliyokamilika.
Tiba ya Pilipili Manga sio tu kuleta ladha, bali inaponesha na kusafisha mfumo mzima wa upumuaji na kusaidia tumbo kutoa tindikali sahihi ya kusaga chakula. Ila kwa tafadhali sana, ukiisaga na kuiacha wazi juani au hewani kwa muda mrefu unapoteza ufanisi wa dawa yake, hivyo inatakiwa ihifadhiwe ikiwa nzima na kusagwa pale tu inapohitajika ili isipoteze mafuta yake ya tiba yaliyopo ndani ya ganda lake jeusi.
Kwa msaada zaidi piga namba hii 0762 286 282 / DR WILLIAM CLINIC TANZANIA

PanyaBuku wakubwa hili ni kitunguu saumu, hili kitunguu saumu lina faida kubwa sana kwenu isivyo kawaidaMfanoUtomvu wa k...
06/19/2026

Panya
Buku wakubwa hili ni kitunguu saumu, hili kitunguu saumu lina faida kubwa sana kwenu isivyo kawaida

Mfano
Utomvu wa kitunguu saumu unasaidia kupunguza ugonjwa wa kisukari, k**a una mgonjwa wa kisukari mwanzishie diet ya Kila jioni anatangwa slice kadha za kitunguu saumu sukari yake itakuwa balance

Kitunguu saumu lanaongeza maji mwili
Kitunguu saumu linapunguza sumu kwenye damu
Kitunguu saumu linazuia saratani ya koo
Kitunguu saumu linaongeza uwezo wa macho kuona
Kitunguu saumu linazuia kuhalisha
Kitunguu saumu linasaidia kuongeza hamu ya chakula
Kitunguu saumu linaongeza hamu ya kunywa maji
Kitunguu saumu lina vitamin k**a zote C mpaka K
Kitunguu saumu linazuia macho kuwa mekundu
Kitunguu saumu linaweza kuchangia uwe na mkojo msafi
Kitunguu saumu linasaidia kupunguza mawazo

Sasa panya huku mkubwa wewe nani kakuambia ukiwa unakula kitunguu saumu lazima utumie chumvi, kitunguu saumu hutakiwi kulilia na chumvi ukilia chumvi diet value yake inakuwa Low sababu hiyo unaweza kuugua magonjwa ya moyo badala ya kutibu.

Pia sipendekezi sana ukala kitunguu saumu na maganda yake ya nje sababu Vitunguu saumu vinavyopatikana majini mengi hupuluziwa dawa za fangusi hivyo magamba ya nje sio salama kabisa kwa ulaji vyema ukaliosha kwa maji moto au ukalimenya.

Sasa ndio usiondoke au kupita post huu bila share jamani hata k**a nimekufokea si lengo unielewe kizazi hadi kizazi au !! Like au share sasa hapo juu....

Habari za majukumu!Leo nipo  mbele yenu kuzungumzia kiungo tunachokifahamu sote, kiungo ambacho mara nyingi tunakichukul...
05/20/2026

Habari za majukumu!

Leo nipo mbele yenu kuzungumzia kiungo tunachokifahamu sote, kiungo ambacho mara nyingi tunakichukulia k**a tunda la kawaida au kichocheo cha ladha kwenye uji na juisi zetu. Tunda hili si jingine bali ni Ukwaju. Lakini leo, siji kuongelea ladha yake ya ukali na ukwasi; nipo hapa kuwaeleza siri kubwa ya kitatibu iliyofichwa ndani ya tunda hili na majani yake—hususan katika kulinda na kutibu kiwanda kikuu cha miili yetu, nacho ni Ini.

Ndugu zangu, ini ndilo linalochuja sumu zote tunazokula, tunazokunywa, na kupumua. Maisha ya sasa yamejaa vyakula vya mafuta na kemikali, jambo linalofanya ini kuchoka na kushambuliwa na magonjwa k**a Fatty Liver (mafuta yaliyozidi kwenye ini) na hata Cirrhosis (ini kusinyaa na kulemaa).

Je, ukwaju unaingiaje hapa k**a tiba?

Kwanza kabisa, Ukwaju ni "Mfagio" wa Mafuta Kwenye Ini.
Tafiti za kisayansi zinaonyesha kuwa ukwaju una tindikali asilia na viondoa-sumu (antioxidants) vyenye nguvu, k**a vile polyphenols na flavonoids. Kemikali hizi zina uwezo wa ajabu wa kuyeyusha mrundikano wa mafuta mabaya yanayoganda kwenye seli za ini. Unapokunywa ukwaju, unasaidia ini lako kujisafisha na kupunguza mzigo wa mafuta unaoweza kulisababishia majeraha.

Pili, Ukwaju unarekebisha na Kulinda Seli za Ini Zilizoharibika.
Ini linaposhambuliwa na sumu au pombe, seli zake huanza kufa na kutengeneza makovu. Majani na nyama ya ukwaju yana uwezo wa kuchochea utengenezajiji wa vimeng'enya (enzymes) asilia vya mwili vinavyolinda ini. Kinga hii inazuia uharibifu zaidi wa seli na kulipa ini nafasi ya kujikarabati lenyewe.

Sasa, tunautumiaje ukwaju k**a tiba?
Njia ni rahisi sana na iko ndani ya uwezo wetu:

K**a Juisi ya Tiba: Chukua nyama ya ukwaju uliokomaa, roweka kwenye maji ya moto kwa dakika 15 hadi 20. Uchuje vizuri kupata rojo yake. Kunywa glasi moja asubuhi na jioni. Siri kubwa: Ili iwe tiba ya ini, usiekee sukari! Sukari itarudisha nyuma kazi ya ini. Unaweza kuweka asali kidogo au kunywa hivyo hivyo na ukali wake unaochangamsha.

Chai ya Majani ya Ukwaju: Chemsha majani mabichi na machanga ya ukwaju kwenye maji safi. Kunywa kikombe kimoja kila siku. Chai hii ni msaada mkubwa katika kushusha joto la ini na kuondoa sumu za ndani.

Ndugu zangu, nimalizie kwa kusema hivi:
Asili imetupa majibu ya magonjwa mengi yanayotugharimu mamilioni ya pesa hospitalini. Ukwaju ni daktari wa bei rahisi aliyepo sokoni kwetu. Tuuthamini, tuutumie kwa ugonjwa wa ini, lakini pia tusiache kupata ushauri wa madaktari wetu wa hospitalini ili kupima na kujua maendeleo ya afya zetu.

Asanteni sana kwa kunisikiliza!
KWA HUDUMA YA AFYA NA UZAZI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0678525653

Ndugu zangu, habari za uzima?Leo napenda kuchukua dakika chache za muda wenu kuongelea suala la afya zetu, na namna asil...
05/20/2026

Ndugu zangu, habari za uzima?

Leo napenda kuchukua dakika chache za muda wenu kuongelea suala la afya zetu, na namna asili ilivyotubariki kupitia mmea mmoja wa pekee sana unaoitwa Mlonge au kwa kitaalamu Moringa Oleifera.

Katika ulimwengu wa sasa, sote tunafahamu jinsi ugonjwa wa Kisukari unavyotesa ndugu, jamaa, na marafiki zetu. Ni ugonjwa unaobadilisha mifumo ya maisha na kuleta hofu kubwa. Lakini, je, mnafahamu kuwa katikati ya changamoto hii, asili imetupatia silaha imara inayopatikana kirahisi kwenye mazingira yetu?

Mlonge hauitwi "mti wa miujiza" kwa bahati mbaya. Kila sehemu ya mti huu—kuanzia majani yake, mbegu, hadi mizizi yake—imesheheni virutubisho, madini, na vitamini vingi mno kuliko hata baadhi ya vyakula tunavyokula kila siku.

Lakini siri kubwa ya Mlonge iko wapi linapokuja suala la Kisukari?

Utafiti wa sayansi na uzoefu wa miaka mingi unaonyesha kuwa majani ya mlonge yana uwezo mkubwa wa:

Kushusha na kurekebisha kiwango cha sukari mwilini: Kemikali asilia zilizomo kwenye mlonge husaidia seli za mwili kuchukua na kutumia sukari vizuri, badala ya kuiacha ijirundike kwenye damu.

Kusaidia utendaji kazi wa kongosho: Inasaidia mwili kutoa homoni ya insulin kwa ufanisi zaidi, ambayo ndiyo mdhibiti mkuu wa sukari.

Ndugu zangu, kutumia mlonge ni kurudi kwenye asili ili kulinda afya zetu. Unaweza kukausha majani yake kivulini, kuyasaga kuwa unga, na kuweka kwenye chakula au kunywa k**a chai. Ni njia rahisi, ya gharama nafuu, lakini yenye nguvu kubwa.

Hata hivyo, napenda kumalizia na ushauri huu wa muhimu sana:
Mlonge ni msaidizi mzuri, lakini sio mbadala wa vipimo vya hospitali. K**a tayari unatumia dawa za kisukari zilizosajiliwa na daktari, ni vyema kupima sukari yako mara kwa mara na kushauriana na wataalamu wa afya ili uhakikishe sukari haishuki chini ya kiwango kinachotakiwa.

Afya ni utajiri namba moja. Tuanze leo kuutumia mti huu wa miujiza kulinda miili yetu na kupambana na kisukari.

Asanteni sana kwa kunisikiliza!
KWA HUDUMA YA AFYA NA UZAZI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0678525653

SIKU UKIENDA HOSPITAL UNAUMWA MALARIA Omba wakupe dawa hizi    1. Artemether + Lumefantrine (ALu) — inatibu malaria kwa ...
05/15/2026

SIKU UKIENDA HOSPITAL UNAUMWA MALARIA Omba wakupe dawa hizi

1. Artemether + Lumefantrine (ALu) — inatibu malaria kwa asilimia 89 ila inaharibu mishipa ya moyo.


2. Artesunate (Injection) — inatibu malaria kwa asilimia 76% ila inakausha damu mwilini.

3. Dihydroartemisinin + Piperaquine (DP) — inatibu malaria kwa asilimia 65% ila inaharibu umeme wa moyo

4. Artesunate + Amodiaquine (ASAQ) — inatibu malaria kwa asilimia 51% ila inasababisha homa ya damu na ini.

5. Artemether (Injection) — inatibu malaria kwa asilimia 43% ila inasababisha gazi na kukaza kwa misuri.

6. Quinine — inatibu malaria kwa asilimia 38% ila inaharibu masikio kusikia

7. Sulfadoxine + Pyrimethamine (SP) — inatibu malaria kwa asilimia 33% ila inaharibu ngozi na figo

8. Mefloquine — inatibu malaria kwa asilimia 26% ila inaleta ukicha wa afya ya akili.

9. Atovaquone + Proguanil — inatibu malaria kwa asilimia 14% ila inasababisha kukosa choo, mfumo wa chakula kufunga.

10. Doxycycline — inatibu malaria kwa asilimia 17% ila inaleteleza meno kung'oka , na ngozi kuungua.

SIKU UKIENDA DUKA LA MADAWA HAPO UTACHUKUA IPI YENYE NAFUU KIDOGO?

Ulikuwa unajua kwanini maiti yenu ulikutwa imechanwa na kushonwa upya, Takataka wewe- Now days hospital zinavuna viungo ...
05/15/2026

Ulikuwa unajua kwanini maiti yenu ulikutwa imechanwa na kushonwa upya, Takataka wewe

- Now days hospital zinavuna viungo kwenye maiti za ndugu zenu, kuna baadhi ya viungo sio lazima waombe ruhusa kuvichukua wanajua wakichukua k**a familia hamtahoji ila kisheria ni makosa ila mlisha zika maana kwenu mhimu ni kwenda kuzika, haraka ili mgawane nguo za marehemu.

05/14/2026

UNAUMWA TATIZO GANI
NIKUSAIDIE DAWA

Address

California City, CA
093/094

Telephone

+13473673646

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kipande cha asili herbals posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share