18/11/2024
TwigaNet Company inatoa pole za dhati kwa wafanyabiashara wa Kariakoo na waathirika wote, kufuatia ajali ya kuporomoka kwa jengo la biashara lililopo Mtaa wa Mchikichi, Kariakoo, jijini Dar es Salaam, iliyotokea tarehe 16 Novemba 2024, asubuhi.
Tunawatakia majeruhi uponyaji wa haraka na faraja kwa waathirika wote wa ajali hii.