19/02/2022
Mimi Naipenda TCL SMART ANDROID Tv kwa kua picha nzuri yenye muonekano halisi na pia ubora wa tv hii hata ukiwasha masaa 24hrs huwez kuta imepata moto kwa kua ina iPQ Engine,Pia ina uwezo mkubwa sana wa picha nzuri KARIBUNI WOTE
:
Call +255 763 126 507
WhatsApp +255 763 126 507
:
📍Office zetu zipo Zanzibar mskiti wa Kikwajuni street
:
🚚Zanzibar free delivery na Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa na gharama za usafiri utapewa kulingana na mkoa ulipo