Ayubu Frank Pyuza

Ayubu Frank Pyuza ICT Consultant deals with database design and administration, system analysis and Design, system aud Bring Closer To Technology

03/02/2023

KATIKA KILA MAPITO, CHAGUA KUJIFUNZA.

Unapoona changamoto zimekuandama, mapito ni mengi, fahamu kuwa kuna jambo unatakiwa kujifunza. Usikimbilie kulalamika na kuanza maombi yasiyoeleweka. Kaa chini, kisha tafakari.

Mhubiri 7:14, "Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake."

Kwanini utafakari? Kutafakari kutakupa hekima ya kuamua, kusema, kumshirikisha mtu sahihi na kuomba. Usiharakishe kufanya jambo lolote kabla ya kutafakari kuhusu jaribu au changamoto hiyo.

MCHUNGAJI VICTOR GASPER MALAMLA - KANISA LA EFATHA NUNDU MWANZA.

03/02/2023

HAKUNA MAPITO YA KUDUMU.

Katika dunia tunayoishi kuna kila aina ya changamoto ambazo mwanadamu hupitia. Changamoto hizi huitwa mapito. Hakuna mapito ya kudumu kwa sababu kila changamoto huwa na suluhisho.

Mithali 3:6, "Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako."

Changamoto zote ni njia ya kuelekea mahali fulani. Mahali hapo utapafikia kulingana na namna uliyoitumia kutatua changamoto husika. Ndio maana neno linasema katika njia zako zote umkiri MUNGU ili anyooshe mapito yako.

MCHUNGAJI VICTOR MALAMLA -KANISA LA EFATHA NUNDU MWANZA.

03/02/2023
15/01/2023
  +  #@3
15/01/2023

+ #@3

Have you been to Ruaha National Park?Is it on your bucket list this 2023?👉🏼Ruaha lies almost directly on a route between...
10/01/2023

Have you been to Ruaha National Park?
Is it on your bucket list this 2023?
👉🏼Ruaha lies almost directly on a route between Nyerere National Park and Katavi and Mahale Mountains National Parks.
The end point would be Dar es Salaam.
👉🏼This safari would combine the chimps of Lake Tanganyika, the vast flood plains of Katavi, the big game wonders of Ruaha, ending with the lakes and rivers of Nyerere National Park.
Visit Ruaha this year of 2023.
📸 .withk

06/01/2023

Mkazi wa Kigamboni mkoani Dar es Salaam akiwa amepanda mkokoteni unaovutwa na punda akienda kutafuta maji jana. PICHA: JUNANNE JUMA

Address

Ulemo

Telephone

0756631375

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ayubu Frank Pyuza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ayubu Frank Pyuza:

Share