24/09/2026
π‘ Faida za Filament Bulb
* β¨ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia β huongeza uzuri na elegance kwenye eneo.
* π‘ Hutoa mwanga wa Warm/Golden β hufanya mazingira yawe na hali ya utulivu na kuvutia.
* π Inafaa kwa mapambo β nzuri kwa nyumba, restaurant, hotel, cafΓ© na ofisi.
* π‘ Design ya kipekee β filament inayoonekana ndani ya bulb huipa muonekano wa vintage/luxury.
* π Rahisi kutumia β inatumia socket za kawaida kulingana na aina yake.
* πΈ Nzuri kwa interior photography β hutoa mwonekano mzuri kwenye picha na video.
* π° Huongeza thamani ya mapambo β inaweza kufanya eneo lionekane la gharama na la kisasa zaidi.