09/03/2026
SimuVote
Innovative Voting Solution by PigaTech SoftCompany
SimuVote ni mfumo uliotengenezwa na software company inayoitwa PigaTech SoftCompany, kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali katika upigaji kura, ikiwemo:
Changamoto Zinazotatuliwa:
Kupoteza muda wakati wa uchaguzi
1. Matumizi ya karatasi yanayochafua mazingira
2. Wizi wa kura
3. Kutokuwepo kwa uhuru kwa mpiga kura na anayepigiwa kura
4. Kuchelewa kwa matokeo kutangazwa
Jinsi SimuVote Inavyotatua Changamoto Hizi:
1. Rahisi kutumia - kinachohitajika ni jina na namba ya simu ya mpiga kura tu.
2. Upigaji kura wa nafasi nyingi kwa wakati mmoja - unaweza kumpigia kura Mwenyekiti, Katibu na viongozi wengine kwa pamoja.
3. Matokeo ya wakati halisi (Real-time) - kila kura inapoongezeka, inaonekana papo hapo.
4. Usiri wa mpiga kura - hakuna picha wala muonekano wa mtu unaoonyeshwa.
5. Uwazi na uhuru wa kuchagua - kila mtu anachagua bila shinikizo.
6. Matokeo hujitokeza mara baada ya uchaguzi kumalizika.
7. Usalama na faragha - matokeo hujifuta kiotomatiki siku moja baada ya uchaguzi.
8. Bure kabisa kutumia - hakuna gharama yoyote.
9. Msaada kwa wateja (Technical Support) — tunapatikana *24/7* kukusaidia.
Tafuta na Utufuate kwenye Mitandao ya Kijamii:
✅Instagram: SimuVote Tanzania
✅Facebook: SimuVote Tanzania
✅Twitter (X): SimuVote Tanzania