Lugarawa Electronics CO LTD

Lugarawa Electronics CO LTD Wauzaji na wasambazaji wa vifaa vya umeme wa kawaida na umeme utokanao na nishati ya jua. Tunauza vifaa vya rejareja na jumla kwa bei nafuu na stahiki.

Lugarawa Electronics CO LTD Ni duka la vifaa vya umeme lililojikita katika usambazaji wa vifaa halisi(Orijini) vya umeme na vile vitumiavyo nishati ya jua Pia tunatoa huduma za ufungaji wa backup za umeme,Solar systems n.k. Tunaweza kuhudumia wateja waliopo nje ya Mji wa Njombe kwa kufanya mawasiliano ya moja kwa moja kupitia anwani na simu zetu. Hivyo tunauwezo wa kukufikishia mzigo ukiwa katika

hali nzuri na salama bila kupata tatizo lolote kwani uaminifu kwetu ndio kitu cha pekee. Gharama zetu ni nafuu zaid,Hivyo Usihangaike tena kutafuta vifaa vya umeme pamoja na Ving'amuzi kwani Ukifika Lugarawa Electronics CO LTD unauhakika wa kupata bidhaa bora zenye kiwango kinachokidhi mahitaji yako.

Address

Njombe Mjini
Njombe

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Saturday 07:00 - 18:00
Sunday 07:00 - 18:00

Telephone

+255745571927

Products

Home Theatre System,Televisons,Sub-woofer,Solar panels,Microwaves,refrigerator,generators,Cylinder gas,Iron,Motors.

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugarawa Electronics CO LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lugarawa Electronics CO LTD:

Share

Category