tellphoneboxtz

tellphoneboxtz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from tellphoneboxtz, Mobile Phone Shop, Mwenge.

ONE YEAR LIMITED WARRANTY ✅
25/11/2022

ONE YEAR LIMITED WARRANTY ✅

Apple imeonyesha nia ya kuinunua Manchester United kwa kiasi cha Euro Bilioni 5.8 (baadhi ya vyanzo vinasema ni Bilioni ...
25/11/2022

Apple imeonyesha nia ya kuinunua Manchester United kwa kiasi cha Euro Bilioni 5.8 (baadhi ya vyanzo vinasema ni Bilioni 6); ambayo ni takribani zaidi ya Trilioni 14 Shilling za Kitanzania.

Hivi karibuni The Glazers walitangaza kuuza timu ya Manchester United baada ya kuwa mmiliki anayemiliki timu hiyo kwa share kubwa; kwa miaka 17.

Apple ni kampuni ambayo kwa mwaka inapata faida ya takribani Euro Bilioni 326 (Trilioni 792 za Kitanzania) na ina thamani ya zaidi ya Euro Trilioni 2 ambazo ni sawa na Quadrillion 4 (Trilioni 4,000). Lakini kampuni hii kubwa ya Tech haina historia ya kumiliki Biashara ya mpira. Lakini hivi karibuni imekuwa ikiwekeza katika Live Sports kwa kukuza brand ya Apple TV na Apple News; hii itakuwa ni deal kubwa sana kihistoria.

Tim Cook amesema Apple inajaribu kuangalia fursa ya umiliki huo na itapanga mazungumzo na benki zilizoteuliwa kusimamia mauzo, ambayo ni pamoja na The Raine Group.

Mwaka huu Elon Musk na Conor MacGregor walionyesha nia ya kuinunua Man U.

IPHONE 11 PRO MAX BATTERY HELTH 100%🔋GB (64)⚙️- PRICE 1,250,000/=GB (256)⚙️- PRICE 1,300,000/=EXCHANGE::SIMU NA PESA:::I...
25/11/2022

IPHONE 11 PRO MAX

BATTERY HELTH 100%🔋

GB (64)⚙️- PRICE 1,250,000/=

GB (256)⚙️- PRICE 1,300,000/=

EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅

☎️CALL/WHATSAPP 0672588929

DELIVERY MIKOANI NA MJINI 🚚

💨💨WE TRUST IN GENUINE BRANDS 🤝💨💨

IPHONE 11BATTERY HELTH 100%🔋GB (64)⚙️- PRICE 850,000/=EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅☎️CALL/WHATSAPP 0672588929DE...
25/11/2022

IPHONE 11

BATTERY HELTH 100%🔋

GB (64)⚙️- PRICE 850,000/=

EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅

☎️CALL/WHATSAPP 0672588929

DELIVERY MIKOANI NA MJINI 🚚

💨💨WE TRUST IN GENUINE BRANDS 🤝💨💨

Samsung inaendelea kutoa mfumo mpya wa Android 13 ya mwaka huu katika simu zake. Hivi karibuni imeongeza speed ya kutoa ...
24/11/2022

Samsung inaendelea kutoa mfumo mpya wa Android 13 ya mwaka huu katika simu zake. Hivi karibuni imeongeza speed ya kutoa mfumo mpya wa Android 13 katika simu za bei nafuu, tofauti na zamani ambapo ilikuwa inapendelea updates katika simu za bei ya juu tu.

Wiki hii ni zamu ya Galaxy A71 (4G) na Galaxy F62. Simu zote zimeanza kupata mfumo mpya wa Android 13 na One UI 5.0.

IPHONE XRBATTERY HELTH 100%🔋GB (128)⚙️- PRICE 700,000/=EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅☎️CALL/WHATSAPP 0672588929D...
24/11/2022

IPHONE XR

BATTERY HELTH 100%🔋

GB (128)⚙️- PRICE 700,000/=

EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅

☎️CALL/WHATSAPP 0672588929

DELIVERY MIKOANI NA MJINI 🚚

💨💨WE TRUST IN GENUINE BRANDS 🤝💨💨

PHONE  7+BATTERY HELTH 100%🔋GB (32)⚙️- PRICE 420,000/=💨💨GB (128)⚙️- PRICE 450,000/=EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝...
24/11/2022

PHONE 7+

BATTERY HELTH 100%🔋

GB (32)⚙️- PRICE 420,000/=💨💨

GB (128)⚙️- PRICE 450,000/=

EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅

☎️CALL/WHATSAPP 0672588929

DELIVERY MIKOANI NA MJINI 🚚

💨💨WE TRUST IN GENUINE BRANDS 🤝💨💨

IPHONE 12 PRO MAX GB (128)⚙️- PRICE 1,850,000/=EXCHANGE/TOP UP ALLOWED 🤝✅☎️CALL/WHATSAPP 0672588929💨💨WE TRUST IN GENUINE...
24/11/2022

IPHONE 12 PRO MAX

GB (128)⚙️- PRICE 1,850,000/=

EXCHANGE/TOP UP ALLOWED 🤝✅

☎️CALL/WHATSAPP 0672588929

💨💨WE TRUST IN GENUINE BRANDS 🤝💨💨

PHONE  12 PLAIN BATTERY HELTH 100%🔋GB (64)⚙️- PRICE 110,000/=GB (128)⚙️- PRICE 120,000/=EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKE...
24/11/2022

PHONE 12 PLAIN

BATTERY HELTH 100%🔋

GB (64)⚙️- PRICE 110,000/=

GB (128)⚙️- PRICE 120,000/=

EXCHANGE::SIMU NA PESA:::INAPOKELEWA🤝✅

☎️CALL/WHATSAPP 0672588929

DELIVERY MIKOANI NA MJINI 🚚

💨💨WE TRUST IN GENUINE BRANDS 🤝💨💨

Address

Mwenge

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when tellphoneboxtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share