04/11/2019
Internet ni nini?
Internet ni muunaniko wa ma milioni ya mitandao(networks) kuanzia za watu binafsi, umma, shule, biashara na serikali ambazo zinaumganishwa kwa waya ama bila waya(wireless). Internet inabeba taarifa nyingi mno na huduma.
Matumizi ya internet.
Internet inatumika kutafuta taarifa mbalimbali kwaajili ya utafiti au kuongeza elimu.Kuna wataalamu mbalimbali wanatumia internet kwaajili ya kufanya utafiti mfano madokta.
Faida za internet:
>Email:- email inatumika sana kwenye mawasiliano hasahasa yakibiashara na kiofisi. Imepunguza gharama za kutuma barua kwa njia ya makaratasi, email inawahi kufika sekunde tu tofauti na kutuma barua kwa njia ya posta.
>Masaa 24 siku 7 za wiki:- internet inapatikana muda wote, muda wowote unataka kutumia internet k**a unaweza kuifikia basi yenyewe ipo.
>Taarifa:- taarifa ni kitu kibwa internet inatoa, kuna taarifa nyingi mno mtandaoni karibia kila kitu unahitaji kukijua utakikuta kwenye internet. Hata k**a utahitaji kujua taarifa za jirani yako wenda ukazipata kwenye internet. Asante kwa google,yahoo,msn unaweza tafuta chochote.
>Kuchat mtandaoni:- asante kwa app k**a whatsapp,messenger,wechat n.k watu wanachat kutoka matafaifa mbalimbali papokwapapo bando lako tu.
>Huduma:- Unaweza kununua vitu kwenye internet, kukodi hotel, kutafuta kazi, kuomba mkopo na mitaji n.k.
>Jamii:- kuna majukwaa mbalimbali kwenye internet mfano jamiiforums watu wanaongea na kufundishana ishu mbalimbali.
>Ecommerce:- biashara sasa zinafanyikia mtandaoni, asante kwa mitandao k**a Amazon, Alibaba, Kikuu, Jumia, Ebay na mingine mingi unaweza kukunua chochote na kulipia bila kuonanana na muuzaji hata k**a yupo bara lingine.
>Burudani:- Mtandao k**a youtube unaweza kuangalia video za muziki, muvi, mahojiano, mafunzo n.k mitandao k**a spotify,boomplay n.k unaweza kustream miziki.Netflix unaweza kuangalia filamu na series mbalimbali.
>Software downloads:- Unaweza kudownload magemu, na software kibao kwaajili matumizi kibiashara au nyumbani, software k**a Tally, microsoftoffice, photoshop, n.k zote zinapatikana kwenye internet.
SOMO LA TATU: Litahusu MADHARA YA INTERNET...
Kwa huduma za IT karibu absolutesolutions tukuhudumie.
>website design and development
>kutengeneza mifumo ya kiofisi (software systems).
>Graphics design and logo designing.
>Ushauri na kuendesha akaunti za mitandao ya kijamii(social media)
>Computer maintenance and repair services(ufundi kompyuta)
Karibu inbox>>>>