10/01/2024
Forum hii itahusika na utatuzi wa Changamoto Mbalimbali zinazohusu Security Systems, Laptop, Desktop na hata Simu kwa ujumla.
CGT tumeona ni vyema wote tukusanyike kwa pamoja ili pale kila mmoja anapokuwa na Changamoto kwenye Kifaa chake iwe rahisi sana kupata Ufumbuzi wa haraka ili apate kuendelea na shughuli zake.
Kwenye GROUP hili litahusu mambo yote yanayohusiana na Teknolojia hasa “Updates” mbalimbali na Ushauri pia juu ya Matumizi ya Vifaa vyetu vya Kielektroniki.
Jiunge moja kwa moja kupitia link hapa chini!
https://chat.whatsapp.com/D6jwOcZzgUw8r0e0ULxUCi