06/08/2026
Asante *Rosminian Novitiate - Tanga* kwa kutuamini ku-supply, kufanya installation na setup ya Desktop Computers zenu. Tunathamini sana imani yenu kwetu, na tunafurahia kuwa sehemu ya kuboresha mazingira yenu ya kazi na kujifunzia.
Karibuni *Gratech Company* kwa huduma za vifaa vya ICT na usaidizi wa kitaalamu kwa shule, vyuo, taasisi, viwanda, ofisi, biashara, na watu binafsi.
Ukituchagua *Gratech Company*, umechagua uhakika na ubora.
📲 +255 710 132 903 & +255 752 112 903
🌐 www.gratech.co.tz 📧 [email protected]