13/10/2025
Jipatie Blender za Kisasa na Imara kutoka Gift Electronics! πͺ
Tunayo aina zote β zenye uwezo wa kusaga vitu vigumu na vikavu, food processor zenye kuchuja na kuweka kampai pembeni, pamoja na blender za kawaida kwa matumizi ya kila siku.
π‘ Hakikisha jikoni kwako kunangβaa kwa ubora na teknolojia ya kisasa!
π Madaraka Road, Morogoro Mjini
π +255 684 822 822
π¦ Tunatuma popote ulipo!