17/05/2026
NA ZINGINE NI KWAAJILI YA USIMAMIZI WA DILI ZAKO PAPO MWA HAPO!!! 💼🫀
IKIWA UNATAFUTA SMARTWATCH ITAKAYOKUWEKA MBELE YA MCHEZO KILA SEKUNDE UKIWA JIJINI Dar-Es-Salaam au Arusha, SAMSUNG GALAXY WATCH ULTRA NDIO KILA KITU.
Ukiwa na chuma hiki kwenye wrist yako, hapa kuna vitu vitatu vya muhimu sana unavyovipata bila hata kugusa simu yako:
📊 OFISI MFUKONI (TAARIFA NYETI PAPO HAPO):
1️⃣ Inakuonyesha na kukuchambulia notifications, emails za kiofisi, na alerts za miamala yako kwa kutumia Galaxy AI.
2️⃣ Unaweza kujibu meseji muhimu za wateja haraka kwa “Smart Replies” hata ukiwa umeshika usukani unakatiza foleni ya Bagamoyo Road.
🫀 ULINZI WA AFYA YAKO (MASAA 24):
1️⃣ Inapima mapigo ya moyo wako (Heart Rate), stress levels, na kukupa taarifa mapema k**a mwili wako umechoka sana na unahitaji kupumzika.
2️⃣ Inakuja na “Fall Detection” & “Emergency SOS”—Mungu naepusha mbali, ukipata mtikisiko mkubwa, ajali, au ukianguka ghafla, saa inatuma taarifa ya mahali ulipo (GPS location) kwenda kwa watu wako wa karibu kuomba msaada mara moja.
💎 UBORA WA CHUMA:
1️⃣ Titanium Grade 4 Casing & Sapphire Crystal Glass—haitishiki na mikwaruzo wala vumbi la mtaani.
2️⃣ Ung’avu wa 3,000 Nits—unasoma kila kitu vizuri hata chini ya jua kali la mchana.
💰 BEI: 1,300,000TZS
✨ HALI: Brand New / Sealed in Box
⚠️ Warranty ni Miezi 12
📍 Free delivery ipo kwa maeneo ya karibu Dar es Salaam na Arusha. Mikoani tunatuma kwa mabasi ya uaminifu.
🛒 JINSI YA KUPATA YAKO:
Usisubiri hadi mzigo uishe. Tuma ujumbe DM sasa hivi au bonyeza link kwenye bio kuja WhatsApp na neno “ULTRA” tumalize biashara.
SmartwatchDar BongoTech DarEsSalaam Arusha BiasharaDar