Rich Idea Consult - T Ltd

Rich Idea Consult - T Ltd Rich Idea Consult- strive to coach and mentor individual on HOW to unleash their Ideal POTENTIAL MIND POWER through IDEAS and Making it REAL in Life.

WANYAKYUSA NA USHOGA. DARASA MARIDHAWA
01/05/2023

WANYAKYUSA NA USHOGA. DARASA MARIDHAWA

56 seconds · Clipped by Busokelo TV · Original video "Wanyakyusa Na Dhana Ya Ushoga/Usagaji." by Busokelo TV

24/04/2023

Baba nakushukuru kwa kuwa umenisikia. Nalijua ya kuwa wewe wanisikiliza sikuzote.

24/09/2022

BST Wameamua KUUPIGA PROMO...

29/06/2017

Umewahi kusikia wapi Toyota RV4 au Carina ikajivuna kwa kuwa k**a ilivyo? Umesikia wapi RV4 ikamlingia Carina? Malingo ya uzuri wa Magari hufanywa na mtengenezaji mwenyewe, yeye ndiye anajua gari aina fulani na ranging fulani imetimiza maksudi ya kutengenezwa kwake. Ajuaye kusudi la kutengeneza aina fulani ya gari ni mtengenezaji mwenyewe na huyo hufurahi kila anapoona kusudi lake limetimia.

Inakuwaje wewe unajiuvuna kuwa mwanaume au mwanamke? Inakuwaje unahangaika kujilinganisha na mwanaume au mwanamke mwingine? Umekua mwanaume au mwanamke kwa kusudi la aliyekuumba. Aliyekuumba ndiye anajua k**a unakidhi vigezo vya kuumbwa kwako au la. Inakuwaje unajivunia kuwa mwanaume au mwanamke? Samaki baharini au mtoni anajivunaje kujua kuogelea wakati ameumbwa ili aogelee majini? Samaki ataenda mafunzo ya kuogelea wakati uwezo huo umewekwa mapema na muumbaji mwenyewe? Je mwewe ajajivunaje kwa kujua kuruka angani?

Kuwa mwanaume au mwanamke si kitu cha kujivunia au hata kuhangaika ili kujipatia sifa kwa sababu ya jinsi hizi. Aliyekuumba atajivunia wewe kwa kuishi kusudi la kuumbwa kwako, maono aliyoweka ndani yako, na maono yaliyowekwa ndani yako si ya kuitwa Baba au Mama fulani. Kuwa Baba au Mama hakuongezi ubora wako bali ujue uliumbwa tayari kwa ajili ya hayo.

Ndani ya kuwa mwanaume au mwanamke kuna kusudi ambalo ni tofauti na jinsi zetu na ili kulijua kusudi hilo lazima uombe "how to use/operate manual" kutoka kwa mtengenezaji. Huwezi kujifunza namna ya kutumia jinsi zetu, hizo ni natural readily available for use, ni k**a mwewe arukaye na hahitaji course maalum au samaki aogeleaye Majini.

K**a huombi manual kwa aliyekuumba utakufa na kusudi alilokuumbia bila kuleta faida kwa ulimwengu. Utafananishwa na mwana mpotevu katika simulizi za Biblia.

Thubutu kuishi maisha nje ya maumbile ya jinsi ili talanta yako izae. You are more spiritual than physical appearance.

Uwe na siku njema

28/06/2017

We are never stronger than our faith, we never undertake anything greater than our self confidence dictates.

21/06/2017

Unaweza kujifunza jambo dogo lakini kubwa sana maishani mwako, nalo ni kujifunza kuyatawala mawazo yako. Dikteta hapendi kusikia mawazo yasiyompendeza kwa sababu anajua mwisho yatamwondoa kwenye mawazo yake anayotaka kuyaamini na kuwaaminisha wafuasi wake, na wewe jifunze kuwa dikteta kwa mawazo usiyoyapenda yanayojitokeza kwenye utashi wako. Yakemee na kisha waza unayopenda.

You are the president of your own thoughts so let them be directed on the direction of your command. Stop being directed by your thoughts but rather direct your thoughts.

27/11/2016

"It is in the moment of decision that your destiny lies'"Anthony Robbin

16/11/2016

Huwezi kufanikiwa bila kulipa gharama ya mafanikio unayotaka. Hakuna furaha bila kupata maumivu. Poteza fedha yako kidogo kwa kuwekeza kwenye jambo litakalokulipa hapo baadaye. Mara nyingi na katika mambo mengi maumivu hutangulia kabla ya furaha.

Unaweza kufanya wazo la ufugaji kuwa chanzo kikuu cha utajiri wako, k**a una amini ufugaji kuku ni utajiri, njoo inbox t...
10/11/2016

Unaweza kufanya wazo la ufugaji kuwa chanzo kikuu cha utajiri wako, k**a una amini ufugaji kuku ni utajiri, njoo inbox tuanze safari ya kuelekea utajiri huo. Na k**a utahitaji vifaranga usisite kuja inbox

20/04/2016

Kuamini tu kwamba unaweza hakutoshi, kujiambia tu kwamba utafanya siku moja hakutoshi. Unapaswa kufanya jambo moja tu, chukua hatua kuanza kutenda, kuwa tayari kupambana na hatari za kushindwa na songa mbele ukiwa na uvumilifu na mwisho utavuna sawa sawa na unachowekeza katika kile unachofanya.

Anza kutenda punguza maneno

17/03/2016

Macho na masikio hukusaidia kupokea viliivyo nje ya moyo na utashi wa mwanadamu. Ni kazi ya utashi au moyo wa mtu kutoa kibali kwa lililoonwa kwa macho na kusikiwa na sikio kupokelewa kuwa sehemu ya jambo muhimu katika maisha ya mtazamaji na msikiaji. Tumia macho na masikio kwa kushirikisha utashi.

04/03/2016

Kumbuka vyeti havifikirii, haviongei na wala kutenda bali vipo kwa ajili ya kukulinda kuonesha kwamba una fikra chanya, unaongea vema kuwasilisha fikra zako na unatenda vema kuleta matokeo ya fikra na maneno yako. Hakikisha unaboresha fikra , maneno na matendo yako ili kujibu kazi ya vyeti vyako. Thibitisha unaweza kulingana na vyeti unavyoonesha

Address

Mbezi
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rich Idea Consult - T Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share