LEO Kidijitali

LEO Kidijitali Let's Fly Digital!

Part 2 ya "Sifa kuu za mfumo bora wa kusimamia shule"Taarifa zako zote za biashara zipo sehemu moja?
11/05/2026

Part 2 ya "Sifa kuu za mfumo bora wa kusimamia shule"

Taarifa zako zote za biashara zipo sehemu moja?

K**a wafanyakazi wako wanahangaika kutumia mfumo (wakati walishapewa training), hiyo ni indicator namba 1 kuwa system ya...
08/05/2026

K**a wafanyakazi wako wanahangaika kutumia mfumo (wakati walishapewa training), hiyo ni indicator namba 1 kuwa system yako sio nzuri.

Google pekee wana'control searches 9 kwa kila searches 10 zitakazofanyika duniani. Hii inaifanya industry ya "search" ku...
02/05/2026

Google pekee wana'control searches 9 kwa kila searches 10 zitakazofanyika duniani.

Hii inaifanya industry ya "search" kuwa moja ya masoko yanayoendeshwa na kampuni 1 dunia nzima.

So far wamekua wakitupa huduma bora kabisa kuwahi kutolewa mtandaoni.

Lakini kuna maswali ya muhimu bado yanabaki:

Nini kitatokea k**a Google wakiamka siku moja na kuamua kubadilisha huduma zao?

Nini kitatokea k**a ikitokea siku Google ikauzwa kwa kampuni isiyo na values k**a za Google?

Nini kitatokea k**a siku Google akipoteza nguvu ya kusimamia security ya huduma zake?

Majibu ya maswali haya ni complex kidogo ndio maana ni muhimu k**a nchi kuwa na sheria ngumu linapokuja swala la huduma za kidigitali.

Kwa sasa digital space imejaa sana kwa maudhui na creators wengi kiasi kwamba organic reach imebaki historia. Content cr...
26/04/2026

Kwa sasa digital space imejaa sana kwa maudhui na creators wengi kiasi kwamba organic reach imebaki historia.

Content creator wa mapishi anapandisha video 3 kwa wiki, msanii anapandisha video 1 kila baada ya miezi 3. Nani atachukua attention ya watu?

Ukizingatia, currently, YouTube doesn't give a single 💩 about your name. Only content!

Regardless ya uwezo wa AI models nyingi kwenye  data access & accumulation, bado tovuti na blogu zitabaki kuwa kitambuli...
30/03/2026

Regardless ya uwezo wa AI models nyingi kwenye data access & accumulation, bado tovuti na blogu zitabaki kuwa kitambulisho muhimu cha biashara husika.

Bado wateja & partners wapya na waliopo watatumia tovuti yako directly kujua nini unachotoa kwenye soko.

Na muhimu zaidi, bado tovuti yako inaweza kuwa duka au ofisi ya mtandaoni na kukuingizia kipato...kitu ambacho AI haiwezi kukupokonya.

Kumbuka: AI inategemea tovuti za kawaida na blogu za makala kwa ajili ya ukusanyaji taarifa hivyo website yako bado itaendelea kuwa muhimu.

Sababu kubwa iliyowafanya Meta kuanzisha programu hii ni kuanza kukuza organic audience & content kwenye platform yao ya...
20/03/2026

Sababu kubwa iliyowafanya Meta kuanzisha programu hii ni kuanza kukuza organic audience & content kwenye platform yao ya Facebook.

Creators wenye followers kuanzia 100k watakua wanapokea monthly payout ya $1,000, wenye followers kuanzia 3M watapokea $3,000....kwa kuposti content zao Facebook 🙄🫪

Muhimu: Meta wenyewe ndo watachagua eligible creators.

K**a kuna watanzania zaidi ya Milioni 41 hawatumii smartphones, tutafika kweli kwenye kukuza digital platforms zetu (has...
15/03/2026

K**a kuna watanzania zaidi ya Milioni 41 hawatumii smartphones, tutafika kweli kwenye kukuza digital platforms zetu (hasahasa in EduTech & Health tech)?

Vp kuhusu e-commerce stores zetu?

Vp kuhusu kukuza startups zetu hadi vijijini?

Vp kuhusu digital payments, hasahasa mikoani?

Tuanzie wapi?

Now, more than ever, is the right time to invest in your organic content. Why?Because 3 years from today you won't be ab...
24/02/2026

Now, more than ever, is the right time to invest in your organic content.

Why?

Because 3 years from today you won't be able to.

Creating brands (specifically personal brands) will be so damn hard! 😔

Hasahasa kwa content creators wanaouza digital products mtandaoni. Mfano mzuri ni eBooks na "how-to" courses. Lakini pia...
28/11/2025

Hasahasa kwa content creators wanaouza digital products mtandaoni. Mfano mzuri ni eBooks na "how-to" courses.

Lakini pia hata kwa biashara kubwa zenye huduma muhimu kwa wateja wao premium, subscription imekua mbadala mzuri wa kupelekea huduma hizo.

K**a biashara yako inafanyika kwenye traditional business model, yes unaweza kutoboa.Lakini kukua (business expansion) i...
09/11/2025

K**a biashara yako inafanyika kwenye traditional business model, yes unaweza kutoboa.

Lakini kukua (business expansion) itakua ngumu since masoko mengi yanaendeshwa na teknolojia, hasahasa kupitia mitandao ya kijamii na mifumo ya uendeshaji ya kila siku (mf. Mifumo ya mauzo).

So...

Utaamua nini leo...kesho...mwezi ujao?

Address

Mailimoja, Kibaha Mjini
Mbezi

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:30 - 16:30
Saturday 10:00 - 16:00
Sunday 10:00 - 14:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LEO Kidijitali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category