BLAX STORE

BLAX STORE Wauzaji wa Genuine phones from abroad tunapatikana mafiati mbeya Opposite na kitu cha mabasi kinachoenda stendi kuu

10/08/2026

Karibu kwa huduma za SIMU na laptop K**a top up installment top up kwetu pia unapata na elimu na matumizi sahihi ya SIMU karibu sana CC Blax store BLAX STORE

10/08/2026

Unboxing 17 promax silver color eSIM
Mteja kayooka sana wakikuliza ni wapi wajibu sio kwengine ni Blax store BLAX STORE hapa huduma ni uhakika

10/08/2026

Tukutane tarehe 16/08/2026 wana mbeya wote tutakuwa pale ukumbi wa Thugimbe live kucheki uzinduzi wa movie kipekee inayoitwa “MY SON” kutoka kwa kijana wetu mzawa huyu Isarito Mwakalindile hii si ya kukosa tiketi zinapatikana dukani muda wowote kuanzia sasa hadi Iyo tarehe Blax store BLAX STORE

09/08/2026

Wana Mbeya mpo Tayali 🥳🥳🥳🥳 Basi k**a mpo tayali tukutane tarehe 16/08/2026 pale Tughimbe hoteli kijana wenu Mwaisa huyu Isarito Mwakalindile anakwenda kuzindua Bonge moja la move linaitwa MY SON hii si ya kukosa tiketi zinapatikana dukani kwetu Blax store BLAX STORE

Ripoti zinaonyesha kuwa ujio wa iPhone Ultra inayokunjwaunaweza usiwe tishio kwa Samsung, bali ukasaidia kuongeza mauzo ...
07/08/2026

Ripoti zinaonyesha kuwa ujio wa iPhone Ultra inayokunjwa
unaweza usiwe tishio kwa Samsung, bali ukasaidia kuongeza mauzo ya simu zake zinazokunjwa.

Kwa sasa, simu zinazokunjwa zinashikilia takribani asilimia 2.5 pekee ya soko la simu duniani. Kuingia kwa Apple kunatarajiwa kuongeza uaminifu wa watumiaji kwenye teknolojia hii na kupanua soko kwa kampuni zote.
Samsung tayari imezindua Samsung Galaxy Z Fold 8 kabla ya
Apple, ikiwa na muundo mpana unaofanana na pasipoti ili kuvutia wanunuzi mapema. Wakati huo huo, iPhone Ultra inayodaiwa kuja inaweza kuanzia bei ya takribani dola 2,299, huku Galaxy Z Fold 8 ikitarajiwa kuanzia karibu dola 1,899, jambo linaloweza kuifanya kuwa mbadala wa bei nafuu kwa watumiaji wa Android.

Iwapo Apple itaifanya teknolojia ya simu zinazokunjwa kuwa
maarufu zaidi, Samsung inaweza kuwa miongoni mwa kampuni zitakazonufaika zaidi na ongezeko la mahitaji.CC Blax store BLAX STORE

06/08/2026

It’s all about MY SON SCREENING TOUR,Waisa wote tunakutana Tughimbe,ili jambo ni Zito mnoooo🔥 let’s do this my brother Isarito Mwakalindile

06/08/2026

Karibu kwa hudum bora ya SIMU na LAPTOP bila kusahau vifaa vyake kwa ujumla CC Blax store BLAX STORE

Wachambuzi pia wanatarajia Apple Kuitangaza simu hiyokaribu Septemba 8, lanze kupatikana madukani karibu Septemba 18, na...
06/08/2026

Wachambuzi pia wanatarajia Apple Kuitangaza simu hiyo
karibu Septemba 8, lanze kupatikana madukani karibu Septemba 18, na huenda bel yake ikaongezeka kwa dola 250 hadi 300 ikilinganishwa na modeli za sasa za Pro.CC Blax store BLAX STORE

05/08/2026

Unboxing 17 plain lavender color🔥🔥
Huduma kwetu ni uhakika asilimia 💯 Tunapatikana Mbeya Mafiati mkabala na Tughimbe hotel CC Blax store BLAX STORE

Ripoti mbalimbali zinaonyesha kuwa iPhone 18 Pro Maxinaweza kuja na maboresho makubwa katika utendaji, betri, kamera na ...
05/08/2026

Ripoti mbalimbali zinaonyesha kuwa iPhone 18 Pro Max
inaweza kuja na maboresho makubwa katika utendaji, betri, kamera na muundo kabla ya uzinduzi wake unaotarajiwa mwezi Septemba.

Kwa mujibu wa uvumi, simu hiyo inaweza kutumia chip mpya ya A20 Pro iliyotengenezwa kwa teknolojia ya 2nm ya TSMC, kamera kuu ya Sony IMX905 yenye 48MP pamoja na mfumo wa kwanza wa Apple wa kamera yenye aperture inayoweza kubadilika (Variable Aperture).

Pia, inatarajiwa kuwa na betri kubwa ya takribani 5,567 mAh, uzito wa takribani gramu 240, rangi mpya k**a Dark Cherry na Light Blue, pamoja na Dynamic Island ndogo zaidi huku sehemu kubwa ya teknolojia ya Face ID ikifichwa chini ya skrini.

Wachambuzi pia wanatarajia Apple kultangaza simu hiyo
karibu Septemba 8, lanze kupatikana madukani karibu Septemba 18, na huenda bel yake ikaongezeka kwa dola 250 hadi 300 ikilinganishwa na modeli za sasa za Pro.

Ingawa Apple bado haijathibitisha rasmi taarifa hizi, uvuml unaofanana kutoka vyanzo mbalimbali umeifanya iPhone 18 Pro Max kuwa moja ya simu zinazosubiriwa zaidi mwaka huu.
Maboresho ya kamera ndiyo yanatajwa kuwa kivutio klkubwa
lkiwa taarifa hizi zitathibitishwa.CC Blax store BLAX STORE

Address

Mafiati
Mbeya
MAFIATIOPPOSITENAHOTELYATUGHIMBE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BLAX STORE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share