EsoTech

EsoTech Tutakusaidia namna gan ya kujifunza elimu ya teknolojia, jiunge nasi leo

02/05/2023

https://youtu.be/nUB57QsulDY

Jifunze njia hii rahisi kabisa ya kutengeneza mobile application bila kuandika hata mstari mmoja wa code.
Lakini zingatia uwe na ujuzi ufuatao:
1.Namna ya kutumia kompyuta 30%
2. Graphics design 45%
3. Database management 20%
4. Authentication 5%

Elimu hii anaweza kujifunza mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika
na awe anafahamu lugha ya kiingereza hata kwa asilimia 30 tu.

Wasiliana nami sasa 0743693885.
EsoTech Company
life is technology

MAKE YOUR BUSINESS IN YOUR MOBILE PHONE YOUR WELCOMEESOTECH COMPANY
09/03/2023

MAKE YOUR BUSINESS IN YOUR MOBILE PHONE

YOUR WELCOME
ESOTECH COMPANY

Jambo moja tu la siri unatakiwa kulifahamu ili uingize zaidi ya million 5 kwa mwezi kupitia kompyuta yako!Je, unatamani ...
09/11/2022

Jambo moja tu la siri unatakiwa kulifahamu ili uingize zaidi ya million 5 kwa mwezi kupitia kompyuta yako!

Je, unatamani kuanza kupato kupiti kozi ya IT (information technology) au CS (Computer science) unayosoma?

Unaweza ukawa ndo unaanza chuo, au upo tayari chuoni, na unatamani sana ukiwa chuo uanze kujiangizia kipato kwa kupitia ujuzi wako, msaada upo hapa!

K**a upo mtaani,ofisini,nyumbani lakini unatamani kuweza kujiajiri kupitia kompyuta yako msaada upo hapa!

yako mtaji wako.

Piga simu sasa 0743693885 kwa ushauri wa bure!


EsoTech Company
Life is technologyπŸ‘ŠπŸΌ
Karibu sana!

MAKALA YA LEOUko kundi gani kati ya haya mawili?A. Watu Walio Busy (Wana Mambo Mengi Bila Mwelekeo)1. Huwa wanakimbizana...
13/10/2022

MAKALA YA LEO

Uko kundi gani kati ya haya mawili?

A. Watu Walio Busy (Wana Mambo Mengi Bila Mwelekeo)

1. Huwa wanakimbizana na mambo mengi kila siku...
..ila siku ikiisha hawafanyanyi tathmini ya walichofanikiwa katika siku hiyo.

2. Huwa wanataka wahusike kwenye kila kitu kunachoendelea, mtandaoni, ofisini n.k...

Hawa huwa hawataki kupitwa na chochote.

3. Wanapenda kujisifia kuwa hawana muda kabisa...
..ila sababu kubwa ni kwamba wanataka kuonekana kila kitu wanajua.

4. Siku yao haina mpangilio, huwa wanaendesha siku kutegemea kinachowajia mbele yao.

Hawana vipaumbele kabisa.

5. Wanataka kujionesha kuwa wamefanikiwa sana lakini ukichunguza kwa undani wanaigiza.

B. Watu Wanaoishi Kwa Ufanisi.

1. Siku yao inaongozwa na vipaumbele muhimu...
..hawakubali kuendeshwa na matukio.

Kila siku wana vitu maalumu wanavyolenga kuvikamisha.

2. Wanaamini kuwa hawana muda wa kufanya kila kitu.

Wana ujasiri wa kusema hapana kwa mambo ambayo wanaona sio ya muhimu kwao.

3. Focus yao ipo kwenye malengo yao.

Hawaishi ili kushindana wala kujionesha kwa wengine.

NIA yao kubwa ni kutimiza malengo yao.

4. Kila siku huwa wanajiuliza...
..Hivi leo nitafanya nini kitakachonisogeza karibu zaidi na malengo niliyonayo?

Hawakubali siku ipite bila hata kufanya kitu kidogo kinachochangia kwenye mafanikio yao.

Wewe uko kundi gani?

Kuna jambo linakutatiza?

Jiunge
https://t.me/Esotech_biashara

kujipatia kitabu (SOFTCOPY) Kinachohusu namna ya kutatua jambo hilo.

K**a unahitaji kuwa mtu mwenye mafanikio, nilazima ukubali kubadili mtazamo, kubali kjifunza kila siku na kubali kubadilika katika kila kitu... Siri ya mafanikio ni Ufahamu

Sisi tuko tayari kukusaidia kufikia lengo lako, katika taaluma ya IT na CS,Muda si mrefu, karibu tukupatie ushauri buree...
16/09/2022

Sisi tuko tayari kukusaidia kufikia lengo lako, katika taaluma ya IT na CS,

Muda si mrefu, karibu tukupatie ushauri buree na njia rahisi ya kufikia malengo yako

Wasiliana nami 0743693885 au bonyeza link hii
https://chat.whatsapp.com/CpktWcggaYQ6hJVPoFk7pk

LIVE CLASS HII NIKWAKO WEWE UNAYETAMANI KUWA MTAALAMU WA KUTENGENEZA WEBSITE,UTAPATA KITABU CHA HTML CHA KISWAHILI BUREE...
11/09/2022

LIVE CLASS HII NIKWAKO WEWE UNAYETAMANI KUWA MTAALAMU WA KUTENGENEZA WEBSITE,

UTAPATA KITABU CHA HTML CHA KISWAHILI BUREE, NA VIDEO YA SIKU HIYO BAADA YA DARASA UTAPATA BUREE NAFASI BADO IPO JIUNGE NASI LEO KWA KUWA MIONGONI MWAWATAKAO SHIRIKI KWA KUJIUNGA NA GROUP HILI

https://chat.whatsapp.com/CpktWcggaYQ6hJVPoFk7pk

Au nipigie simu 0743693885

Karibu sana mwisho wa booking nitarehe 14 saa sita mchana!
Nafasi 50 zakwanza watapata punguzo la 10% karibu sana!

SESSION 1 HTML na CSS USIPITWE NA HII BABU KUBWA MASAA 6,2 HOURS HTML 4 HOURS CSSUTAPATA BAHATI YA KUWA NA VIDEOS HIZI Z...
09/09/2022

SESSION 1 HTML na CSS

USIPITWE NA HII BABU KUBWA

MASAA 6,
2 HOURS HTML
4 HOURS CSS

UTAPATA BAHATI YA KUWA NA VIDEOS HIZI ZA DARASA OFFLINE KWA MARUDIO..

UTAPATA PIA OFFA YA KITABU CHA KISWAHILI CHA HTML BUREE

BOOK NOW. KWA KUJIUNGA NA GROUP HILI

πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½
https://chat.whatsapp.com/CpktWcggaYQ6hJVPoFk7pk

Au wasiliana nami sasa
0743693885

Fikia mafanikio yako kwa kuwa na website ambayo itakusaidia kuvuta wateja...Sisi tupo tayari kukusaidia kwa gharama ndog...
08/09/2022

Fikia mafanikio yako kwa kuwa na website ambayo itakusaidia kuvuta wateja...

Sisi tupo tayari kukusaidia kwa gharama ndogo sana!

Moja ya project zilizokamilika kutoka esotech
www.niasatours.com
www.naturehealthcare.org
10+

Karibu

Address

Arusha
Magomeni

Opening Hours

Monday 06:00 - 23:00
Tuesday 06:00 - 23:00
Wednesday 06:00 - 23:00
Thursday 06:00 - 23:00
Friday 06:00 - 18:00
Sunday 06:00 - 23:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EsoTech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share