30/10/2023
OFA...! OFA...! OFA...!🛒
Necia Technology Company Limited tupo hapa kuhakikisha mwezi huu unakuwa tofauti kwako na kwa wateja wako ✍️
Sasa unaweza kumiliki application, mfumo au tovuti na aina yoyote kwa kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi kumi yani asimilia 10% kila mwezi. ✍️
Mbali na hivyo sasa huduma zetu za utengenezaji tovuti zinazopatikana kwa malipo ya asilimia 50% tu.
° tovuti ya taarifa kwa Tsh laki 500,000/= tu ambayo inajumuisha gharama za hosting na domain name mwaka mzima, pia unaweza kulipa kwa kidogo kidogo ndani ya miezi kumi yani ni Tsh elf 50,000/= kila mwezi.
° e-commerce website kwa Tsh laki 800,000/= tu ambayo inajumuisha hosting na domain name ya mwaka mzima, pia unaweza kulipa kidogo kidogo ndani ya miezi kumi yani Tsh elf 80,000/= tu kila mwezi.
KUMBUKA: OFA HII IMEANZA 01/11/2023 HADI 30/11/2023
"2023 twende sabasaba kidigital 🛒"
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi sasa simu /WhatsApp +255 768 604 547
Barua pepe: [email protected]
Tovuti: www.neciatech.com