LENDULITechnologies

LENDULITechnologies Is locally owned company which deals with Computer Sales,Software Development and Consultancy in ICT. Based in Dar es Salaam, Tanzania

28/10/2024
17/08/2021

Kwa nini miradi ya TEHAMA kwenye Taasisi ina feli kabla haijakamilika?
Mashirika mengi yamekua na malengo makubwa ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa ya TEHAMA wakiamini kuwa TEHAMA ni nyenzo muhimu katika kurahisashs utendaji wa kila siku na kuongeza tija. Jambo la kusikitisha na kushangaza ni kuwa asilimia tisini na ushehe kwa mijibu wa tafiti, miradi mingi imekuwa inafeli kabla hata ya kuanza.
Baada ya utafiti wa muda mrefu uliofanywa na LenduliTECHNOGIES umeweza kuja na sababu kadhaa zinazosababisha kutokea kwa janga hilo linalopelekea upotevu mkubwa wa rasilimali za Mashirika mengi k**a ifuatavyo;-
 1.Jambombo la kwanza ni kukosekana kwa mpango mujarabu wa rasilimali (fedha, Watu na Muda). Wasanifu wengi wa mashirika na taasisi wamekua wepesi kuweka mpango wa vikao, malengo, muonekano wa mfumo wakidhani hiyo ndio mpango wa mradi na wakijikuta wakisahau kabisa kuhusu swala la rasilima (Watu,Muda na fedha). Hapa naomba kusisitiza kuwa kadiri ya utafiti ni rahisi kwa wakuu wa taasisi kuona mfumo fulani sehemu fulani na kujikuta wamevutiwa nao na kuamua kuwa nao bila kutaka kujua maswala yote yanayohusu usimamizi wa mfumo husika, hapa hua hawataki hata kujua gharama za kuunda, mafunzo,na usimamizi wa mfumo husika baada ya kusimikwa wakiamini kuwa mfumo ukishaudwa basi ndo umekamilika na utafanya kazi kadiri walivyouona.
LenduliTECHNOLOGIES inashauri Taasisi kuwa na wataaalamau waliobobea katika maswala ya project wenye uweledi wa waswala ya uchambuzi wa mifumo ya TEHAMA wenye uwezo wa kufanyia kazi maswali yafutayo kabla ya kuamua kusimika mfumo wowote kwenye taasisi zetu ili kufanya matumizi mazuri ya rasimali ambazo nia dimu na kuongeza ufanisi katika kufikia malengo yaliyokusudiwa.
• Ni aina gani ya rasilimali watu inahitajika ili mfumo uweze kufanya kazi kwa ufanisi na kuleta tija.
1. Watu hao watahitajika kwa muda gani katika maisha ya kuwa na mfumo?
2. Je kuna kuna uwezekana wa kupata mtu kutoka kutoka kwnye taasisi inayotumia mfumo k**a huo tunaotaka kuusimika?
3. Je ni rahisi kumpata? K**a sio rahisi kumpata nini cha kufanya?
4. Je ni vitu gani vinahitajika (Hapa utahitaji kujua ni aina gani ya software na hardware zitahitajika, Je mazingira ya kusanifu mfumo katika hali ya utulivu yapo?)
5. Ukishajibu swali namba tano na ukajiridhisha kuwa mazingira ya kuunda mfumo ndani hayapo basi ni lazima ujiulize k**a kuna msh*tiri anayeweza kuunda au kuleta mfumo k**a huo.
6. Na je mahitaji ya mafunzo yakoje ili watu wako wa ndani waweze kusimamia mfumo pindi utakapokuwa umesimikawa, hapa ni lazima uwe umeandaa mpango wa mafunzo na uwe unaeleweka kabla ya kufikiria kuwa na mfumo wa TEHAMA.

 Malengo yanayoeleweka ni swala la pili la kuzingatia
Kwa mfano; K**a unakimbia riadha ili kupunguza uzito ni lazima useme kwa mwezi unataka angalau kupunguza uzito kiasi gani. Usipolifahamu hilo toka mwanzo utakuwa unakimbia mbio zisizo na mwisho bila kufuata kanununi na misingi ya kupungua uzito na hata ukikimbia milele hautajua k**a umefikia lengo au la.

Baadhi ya Miradi mingi ya TEHAMA iliyofeli imekuwa haina malengo yanayoeleweka isipokuwa ni jambo la kawaida kuwasikia wasanifu wakija na kauli “hiyo haina shida tutaongeza” Wanapokuwa kwenye vikao na watumiaji wa mifumo. Wasanifu wamekua wakitoa majibu k**a hayo kutokana na
a. Hawakuweka ukingo wa mahitaji ya mfumo kabla ya kuanza usanifu na uundaji hivyo kutokata kiu ya watumiaji.
b. kuanza usanifu kabla ya kufanya upembuzi yakinifu.
c. Kuanza ujenzi (Ukandarasi), bila kushirikisha wachambuzi wa mifumo.

Kwa leo naomba kuishia hapa.

Kwa maoni na ushauri unaweza kuwasiliana nasi kupiti a namba 0717 063294. Au email; [email protected].

01/02/2018

Wasimamizi wa mifumo ya kitekinilojia Masytem Admins) mmejiandaaje kupunguza bajeti za kuendesha vyumba vya kutunzia taarifa (Data Center)

Sio jambo la siri bali ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa moja kati ya changamoto kubwa inayowaumiza vichwa wasimamizi wa mifumo ya kitekinolojia kwenye taasisi mbali mbali za serikali na binafsi ni jinsi ya kupunguza bajeti inayotoka kwenye vyumba vya kuhifadhia mifumo ya kutunza taarifa za taasisi yaani (server Rooms),kwa sababu mamilioni ya shilingi yamekua yakitumika kila mwaka kulipia bili za umeme zinazotokana na viyoyozi vilivyofungwa kwenye makabati ya kuhifadhia miundombinu ya kutunza taarifa kutokana na joto.

Hii inatokana na Rasilimali fedha kuzidi kuwa hafifu siku hadi siku huku taarifa zinazotakiwa kuhifadhiwa zikisukuma upanuzi wa miundombinu ya kuhifadhi taarifa za taasisi kila siku.

Wenzetu kampuni ya Microsoft kwa kuliona hilo, wameamua kukabiliana nalo kwa kuhamishia baadhi ya miundombinu yao ya kuhifadhi taarifa kwenye sakafu ya bahari kuu wakiwa na lengo la kuongeza ufanisi wa mifumo yao wakati huo huo wakikabiliana na changamoto ya rasilimali fedha hafifu zinazohitajika kusaidia viyoyozi kupoza hewa ndani ya vyumba vya miundombinu yao ya kuhifadhi taarifa. Wameamua kutumia faida mujarabu ya bahari ambako hakuhitajiki viyoyozi kwa ajili ya kupoza hewa na hivyo kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kupunguza bajeti iliyokuwa inaliwa na vyumba vya kuhifadhi miundombinu ya mifumo ya kuhifadhi data (Data center) kutokana na ukweli usio na shaka kuwa maji ni mazuri katika kupunguza joto kuliko viyoyozi.

kwa maoni unaweza kuniandikia [email protected], 0717063294 au ukanitumia mesage kwenye chat room tujadilia tunaweza kufanya nini.

Imeandikwa na taalamu nguli na mchambuzi sugu wa masuala ya kitekinolojia.

18/08/2017

huyu mdau wangu wa kitekinolojia ndugu Tom Nelson, amefafanua vizuri kuhusu tatizo la laptop kuwa taratibu kwa lugha ya biashara siku nikipata muda nitakuletea kwa lugha ya mama.

Is your laptop running slow? No matter whether it's old or new, a Windows PC or a MacBook, using a slow laptop isn't an enjoyable experience.

If you're looking for ways to make your laptop run faster by upgrading it with faster storage and RAM, or by removing items that could be slowing you down, such as malware, viruses, and even anti-virus apps, or you just want to streamline your laptop for optimum performance, then this is the place to start.

We've gathered six laptop performance-related tips that can breathe new life into your old laptop, or make your new one really take off:

Malware slowing things down.
Precious resources being used by open apps.​
Too many startup items.
Limited free space on your startup drive.
Visual gimmicks slowing down your computer.​
Malware, Virus, and Anti-Virus
Whether it's adware, spyware, or a virus, malware can be a leading cause of computer slowdowns.

Although viruses, adware, Trojans, and spyware all have unique elements that classify them, we're going to consider them all under the malware umbrella, as evil demon spawn we don’t want to see on our laptops. No matter what type of laptop you have, Windows, Mac, or Linux, you should consider some form of anti-malware app as a first line of defense.

For Windows and Linux users, active anti-malware apps that can scan your laptop, both in the background and on demand, are a good choice.

For Mac users, the on-demand malware scanner may currently be a better choice since it doesn't take up resources except when it's in use.

But don't get carried away; a single anti-malware scanner is sufficient defense. Running more than one at any one time is more likely to lead to a slow, unresponsive computer than it is to find additional malware.

To get started removing malware from your Windows laptop, look at How to Remove Adware and Spyware.

Mac users may find Malwarebytes Anti-Malware for Mac a good resource for both scanning for malware and obtaining information on how to remove most Mac malware. By the way, Malwarebytes is also a leading anti-virus maker for Windows.

Too Many Apps Open
Do you really need all those apps running? A common cause of laptop slowdown is the sheer number of apps that are active. Each app eats up laptop resources, including RAM, disk space (in the form of temporary files that are created), and CPU and GPU performance. And while apps running in the background may be out of sight, they still consume some of your laptop's limited resources.

But it's not just the number of open apps, but how you're using an app. A good example is your web browser. How many tabs do you have open? Most web browsers use a sandboxing technique to isolate each open window and tab from the others. This means you can consider each open browser tab or window as if it were an open individual browser app. See how quickly the number of "open apps" increases, and the effect it has on your laptop resources? Getting in the habit of closing unused apps, and only opening the ones you need, is a good way to help manage resources and your laptop's performance.

Quit apps when you are done using them
Close browser tabs that you no longer need
Control Start Up Items
You should also consider preventing apps from starting automatically. All of the major operating systems allow you to configure apps so they'll start up automatically when you boot your computer. These can save you time by not having to remember to start up certain apps, but we often forget to remove even if we're no longer using the app. If nothing else, it's a good idea to take a look at what's starting up.

Mac users: Remove Login Items You Don't Need
Windows users: Use these instructions to Prevent Programs Loading at Windows Startup
Free Up Disk Space
If there isn't enough free space on your startup drive, you force the laptop to work harder at finding the space needed to house temporary files used by the system, and by apps (another reason to limit the number of apps). The system also sets aside disk space for virtual memory, a way for the operating system to squeeze out additional RAM space by moving older data from RAM to the slower disk.

When space gets tight, your laptop can slow down as the overhead for the operating system increases as it tries to manage these storage tasks. You can ease the overhead by ensuring your laptop always has plenty of free space.

As a general guideline, keeping a minimum of 10 to 15 percent of the space free should ensure that your laptop won't experience a dramatic slowdown due to storage issues. Even better, you can ensure you won't have any storage problems at all by keeping 25 percent or more free space available for the operating system to use as it sees fit.

Windows includes a handy built-in utility for helping with disk cleanup. Take a look at: Free Hard Drive Space with Disk Cleanup.

If you need help with a major disk cleanup, check out the 10 Free Disk Space Analyzer Tools.

Mac users will find additional information available in How Much Free Drive Space Do I Need on my Mac? There are also a number of tools at your disposal, including DaisyDisk.

Should you defrag your disks? In general, no. Both Mac and Windows laptops are able to defrag drive space on the fly as long as enough free space is available. Of course, you may have specific needs for defragging, depending on the type of use you put your laptop to. Just remember: never defrag an SSD.

Keep plenty of free space on your startup drive
Defragging a drive may not be needed
Cut Down on Visual Effects
If you have a new laptop with the latest and greatest CPU and GPU, you may not need to cut back on some of the inane visual effects that both the Mac and Windows operating systems seem to like to throw in our faces.

But even if you don’t need to, you may still want to. Eliminating some of the OS visual effects can help increase overall performance by ensuring the CPU and GPU aren’t busy with useless eye candy when you need productive use of the processors.

Mac users will find many of the visual effects are managed in various system preference panes, such as the Dock and Accessibility.

Windows has its own system properties settings that affect performance. You can learn how to access and control the visual properties in the guide: Adjusting Visual Effects to Improve PC Speed.

In most cases, toning down the visual effects will produce a much more responsive user interface, and keep resources available for apps that need them.

Reduce graphic eye candy to a minimum
Upgrade RAM, Disk, Graphics, and Battery
So far, we've talked about managing performance by keeping fewer apps open, increasing the amount of free space on your startup disk by removing files, and generally managing your laptop's resources.

But what if you have an app that would be a better performer if it had a lot more RAM or disk space, or a top-of-the-line GPU to work with? Or perhaps you would just get a lot more done on your laptop if it could run longer on a charge.

Depending on the laptop model, you may be able to increase overall performance by upping the amount of RAM installed, switching to a faster or larger (or both) disk, upgrading a CPU or GPU, or even just replacing the battery, to gain some additional runtime.

These kinds of upgrades can bring significant performance improvements, usually at a lower cost than replacing a laptop. To find out of you can upgrade your laptop, check with the manufacturer, and then shop around for the best upgrade prices on components.

More RAM equals more space for apps to run
Speedier drive allows apps to open and work faster
Graphic intensive apps can perform better with an upgraded graphics engine
Replacing an old laptop battery can increase run times.
Keep Up to Date
Last but by no means least, keeping your OS current can alleviate slowdowns caused by bugs; it also helps by replacing system files that may have become corrupt over time. The same is true for your apps.

Use Windows Update to keep current, or the Mac App Store to update your Mac.

Keep your operating system and apps current. If you are comfortable with it, many systems and apps offer automatic updating so you don't even have to remember to do anything in order to stay up to date.

Address

Magomeni, Shoka Street
Kinondoni
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LENDULITechnologies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share