Tigo Shop Kilosa

Tigo Shop Kilosa Karibu katika ukurasa wetu wa Facebook kwa HUDUMA ZOTE ZA MTANDAO WA TIGO. (OFA ZA SIMU, VIFURUSHI, USAJILI)

Ofisi yetu ipo Kilosa Mjini. KARIBUNI SANA!

26/03/2018

Kuna Samsung Galaxy S9+ MPYYAAAAA Jumia inayoenda kwa chini ya Tshs. 100,000/= inayokuja na internet ya BUREE kutoka Tigo (GB 3 kila mwezi kwa miezi sita)!!!
Hii ni katika amsha amsha za soko kubwa la smartphones mtandaoni, Jumia Mobile Week ambapo simu zoooooteee zitauzwa kwa bei chee..
Simu hii ya Samsung S9+ itakuwepo kwenye tovuti ya Jumia kwa yoyote atakaye bahatika kuiwahi. Ikifika saa 9 mchana, mzigo utakuwa umefichwa humu
https://www.jumia.co.tz/treasure-hunt/“

26/03/2018

Msako wa Samsung Galaxy S9+ MPYYAAAAA umeanza rasmi sasa Jumia. Unachotakiwa kufanya ni kupitia kurasa mbalimbali kwenye tovuti ya Jumia na kuitafuta S9+ inayouzwa kwa chini ya Tshs. 100,000/=. Ukiipata utailipia kwa TigoPesa na utakuwa umejishindia kitu chako kipyaaaa kwenye box!!! Simu hii inakuja na intaneti ya BUREE kutoka Tigo (GB 3 kila mwezi kwa miezi sita). Hii ni katika amsha amsha za soko kubwa la smartphones mtandaoni, Jumia Mobile Week ambapo simu zoooooteee zitauzwa kwa bei chee..

Pitia hapa na uanze msako https://www.jumia.co.tz/treasure-hunt/

26/03/2018

Pata ile yenyewee, mpyaaa, tumekuletea karibu yako Samsung S9 na S9+ !!! Weekend hii tembelea maduka ya Tigo, Duka la Simu kwenye Menu ya *147*00 # au Jumia.co.tz sasa na udake simu yako kwa bei nafuu inayokuja na ofa ya Intaneti BURE kwa miezi 6! Wahi Fasta

Kwa maelezo zaidi bofya https://goo.gl/rQVf9b

26/03/2018

Mambo ni motoo! Tembelea website ya Jumia sasa kufurahia punguzo mpaka asilimia 60 kwenye smartphones, Jipatie madili k**a Infinix Hot 5 kwa shilingi 253,000 tu ya kitanzania badala ya 330,000. Changamka kabla wajanja hawajakuwahi, Kufanya manunuzi bofya, https://goo.gl/QzQDm4

Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu kwenye tovuti ya Jumia kupata simu kwa bei poa. Bofya https://goo.gl/2Z6trV

26/03/2018

Madili ya Kijanja kwa mjanja k**a wewe!! Kupitia Jumia Mobile Week utaweza kufurahia Galaxy J7 pro kwa shilingi 648,150 kutoka 850,000. Mtag rafiki yako umpe hizi habari za kijanja, Fanya manunuzi fasta kwa kubofya link
https://goo.gl/QzQDm4

Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu kwenye tovuti ya Jumia kupata simu kwa bei poa. Bofya https://goo.gl/2Z6trV

26/03/2018

Bei sawa na bure, Kuwa wa kwanza kufurahia punguzo hili la bei la kihistoria. Nunua simu ya Camon Cx Air kwa shilingi 267,700 tu badala ya 575,000. Hii ni kwa hisani kubwa ya Mobile Week inayoletwa kwako na Jumia ikishirikiana na Tigo. Mwambie rafiki amwambie rafiki mambo ni fire! Kuanza manunuzi bofya link
https://goo.gl/QzQDm4

Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu kwenye tovuti ya Jumia kupata simu kwa bei poa. Bofya https://goo.gl/2Z6trV

26/03/2018

Wafanya biashara wanaopokea malipo kwa mtandao wapo kibao kitaani. Hebu furahia kufanya manunuzi bila gharama za ziada ukitumia Tigo Pesa. Piga *150*01 # kufanya malipo kwenye biashara zenye Lipa Hapa na Tigo Pesa

25/03/2018

Nani bado anatembea na vifungu vya pesa mfukoni? Badilika, fanya manunuzi bila gharama za ziada ukitumia Tigo Pesa. Piga *150*01 # kufanya malipo kwenye biashara zenye Lipa Hapa na Tigo Pesa

24/03/2018

Ndugu mteja, Tigopesa itakuwa na maboresho kati ya saa 7 hadi 8 usiku wa leo. Furahia huduma zetu kabla na baada ya muda huu. Asante.

Address

KILOSA
Kilosa

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 13:00

Telephone

+255715123904

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tigo Shop Kilosa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share