Wakanda Power House

Wakanda Power House Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wakanda Power House, Computer training school, BOMANG'OMBE, Kilimanjaro.

WAKANDA COMMUNITY COMPUTING CENTER
Kituo kinachokuwezesha kupata huduma Bora za ushauri na mafunzo kuhusu computer na teknolojia ya habari na mawasiliano Kwa makampuni, wanafunzi na watu binafsi.

Huko kwenu mnazungumziaje huduma za hii kampuni? Huku kwetu ukiwaona utadhani wapo serious!
02/10/2024

Huko kwenu mnazungumziaje huduma za hii kampuni? Huku kwetu ukiwaona utadhani wapo serious!

Karibuni sanaHii ni fursa ya kipekee kujiongezea ujuzi katika matumizi ya computer na smartphones. Karibu ujipatie ujuzi...
06/01/2022

Karibuni sana
Hii ni fursa ya kipekee kujiongezea ujuzi katika matumizi ya computer na smartphones.
Karibu ujipatie ujuzi wa matumizi ya computer kufanya kazi mbalimbali k**a
kuandaa nyaraka,
Kadi,
vitambulisho,
Logo
kutunza kumbukumbu na takwimu za Biashara Kwa kutumia computer au smartphone
Kutengeneza video na kuedit picha
Kutengeneza blog, Nembo na matangazo na kutafuta wateja mitandaoni.
Kutumia internet pamoja na kutengeneza blog, social media accounts na website
Vijana WALIOMALIZA darasa la Saba na kidato cha nne tunawahimiza kujiunga na kujipatia ujuzi WA kuweza kujiajiri

Address

BOMANG'OMBE
Kilimanjaro

Telephone

+255755991633

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakanda Power House posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakanda Power House:

Share