Halotel kigoma

Halotel kigoma Tunatoa huduma za mtandao Kanda ya ziwa hasahasa mkoa wa kigoma unakaribishwa kwa tatizo lolote tupo

  GB1 BUREEJibu swali kwenye comment ujishindie Gb1 Bure
15/01/2025

GB1 BUREE

Jibu swali kwenye comment ujishindie Gb1 Bure

Unakosaje Sasa!
25/07/2024

Unakosaje Sasa!

🌍 pata ajira kutoka halotel vigezo na masharti kuzingatiwa
25/07/2024

🌍 pata ajira kutoka halotel vigezo na masharti kuzingatiwa

TATIZO LA BANDO limekwisha Sasa tunaperuzi akuna kuzima data halotel imekua mkombozi🔥Katika kuboresha huduma zetu kwa Sa...
19/11/2023

TATIZO LA BANDO limekwisha Sasa tunaperuzi akuna kuzima data halotel imekua mkombozi🔥

Katika kuboresha huduma zetu kwa Sasa tumekuletea laini mpya yenye internet ukiwa na laini hii akuna kuzima data lakini pia aurusiwi kupiga simu hii ni spesho kwa ajili ya internet Tu!

Tembelea ofisi zetu zilizopo Kigoma mjini,kasulu,uvinza,kakonko,kibondo,Buhigwe kupata laini hii

Piga namba hii kwa msaada zaidi au K**a unaswali lolote kwa mkoa wa Kigoma 0625586050

  KIBONDO Katika kutimiza miaka Saba ya kutoa huduma Nchini Tanzania kampuni ya Halotel Tumeamua kusambaza Shop zetu. Ki...
04/01/2023

KIBONDO

Katika kutimiza miaka Saba ya kutoa huduma Nchini Tanzania kampuni ya Halotel Tumeamua kusambaza Shop zetu. Kila wilaya ndani ya mikoa yote hapa Tanzania.

Hii Tumeifungua leo Kibondo mjini karibu na Bank ya NMB karibu upate huduma nzuri Kutoka kwetu

04/01/2023

Leo Tupo KIBONDO

Tujiandae kuhesabiwa kwa maendeleo ya Taifa letu
13/08/2022

Tujiandae kuhesabiwa kwa maendeleo ya Taifa letu

Ukiwa Sokoni BUZEBAZEBA waone mawakala wetu wakupe huduma zilizokua Bora zaidi jiunge nasi kufurahia huduma zetu.  Badil...
22/03/2022

Ukiwa Sokoni BUZEBAZEBA waone mawakala wetu wakupe huduma zilizokua Bora zaidi jiunge nasi kufurahia huduma zetu.

Badili laini yako Sasa kwenda kwenye mfumo wa 4G na ufurahie huduma mbalimbali na internet yenye kasi zaidi.

Piga *148*66 # kujiunga na ofa mbalimbali 🙏

  K**a wewe unaifahamu vizuri kigoma Twambie hapo ni maeneo gani?Badili laini yako kuwa 4G na ufurahie internet yenye sp...
21/03/2022

K**a wewe unaifahamu vizuri kigoma Twambie hapo ni maeneo gani?

Badili laini yako kuwa 4G na ufurahie internet yenye speed zaidi Watembele mawakala wetu waliopo karibu nawe

Ukiwa Kigoma mjini Tembelea ofisi yetu ya Halotel Shop Ipo karibu na ofisi ya Ccm mkoa kujipatia huduma mbalimbali. 👉🏽Ku...
21/03/2022

Ukiwa Kigoma mjini Tembelea ofisi yetu ya Halotel Shop Ipo karibu na ofisi ya Ccm mkoa kujipatia huduma mbalimbali.

👉🏽Kubadili laini kwenda 4G
👉🏽Kusajili laini Mpya
👉🏽Kutoa Pesa na kuweka Pesa
👉🏽Kurudisha laini ilio potea
👉🏽Kufunguliwa account yako ya halopesa
👉🏽Kusajiliwa laini mpya ya Royal bando
👉🏽Kununua sim au vifa mbalimbali

Karibu Halotel mtandao Bora Tanzania🇹🇿

Ukiwa wilaya ya Kasulu Unaweza kuwa Tembelea mawaka wetu ili kujiunga na 4G LTE na Utapewa zawadi ya GB4 za Internet BUR...
20/03/2022

Ukiwa wilaya ya Kasulu Unaweza kuwa Tembelea mawaka wetu ili kujiunga na 4G LTE na Utapewa zawadi ya GB4 za Internet BURE.

Halotel ni kampuni Bora ya mawasiliano nchini jiunge nasi kufurahia huduma Bora zaidi kwa msaada zaidi Tuchek WhatsApp 0625586050

Address

Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halotel kigoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Halotel kigoma:

Share