01/07/2026
JE, Simu yako imepasuka kioo , Battery je limevimba au halikai na chaji ? Vip kuhusu mfuniko wa nyuma ni mzima au nao umepasuka? basi Usipanic 👨🏼🔧
Sasa Muuh Istore ipo kwa ajili ya simu yako.!! Tunatoa huduma ya haraka na ya uhakika kuokoa simu yako kabla haijaharibika kabisa!
✅ Huduma ya kitaalamu
✅ Spare halisi na bei nafuu na imara sanaa
✅ Simu yako inarudi kwenye hali bora - haraka!
✅Tunatoa Home || Ofice Services
Usisubiri hadi iwe too late - Tupigie leo Tuje kufanya service tuokoe simu yako Tunakuja popote Dar es salaam.
Ofis zetu zinapatikana
📍Kariakoo Likoma & Magila Opposite na kanisa la kkkt
Call ☎️ 0653405744 || 0743405743