Tanzanite Smart Technology

Tanzanite Smart Technology Smart technology UPATIKANAJI WETU
Tuko Mjini Kahama-Shinyanga. Hivyo, tupo muda wote wa kazi kila siku. PIA UNAWEZA KUWASILIANA NASI KWA MAELEKEZO AU UFAFANUZI.

TANZANITE SMART TECHNOLOGY
Sisi ni nani?
=Tanzanite Smart Technology ni jopo la wataalamu wa Teknolojia ya Mawasiliano (ICT) na mafundi wa simu za aina zote pamoja na kompyuta za aina zote.
=Pia tunahusika na uuzaji wa vifaa vya simu na kompyuta. S.L.P .......
Simu: +255657433372/ +255 757433372
Barua pepe: [email protected]

UBORA WA HUDUMA ZETU
Tunatoa huduma bora kwa viwango vya juu kukidhi mahitaji ya wateja wetu na zaidi ya matarajio yao. Huduma zetu ni bora na hutolewa kwa wakati "Huduma bora kwa Gharama nafuu"
Huduma zetu zinatutambulisha na kututofautisha na wengine kwa vigezo vifuatavyo:

1.UPATIKANAJI WETU
=Tunatambua umuhimu wa muda kwa wateja wetu. Kwetu mteja ni mfalme, na kuridhika kwa mteja ndio furaha yetu.

2.GHARAMA, UBORA NA UZOEFU
=Tunatoa huduma bora kwa wakati na gharama nafuu,
=Jopo letu linaundwa na wataalamu waliosomea fani hii na wana uzoefu wa kutosha katika huduma hii,

3.USALAMA WA MALI YA MTEJA
=Usalama wa mali ya mteja ndio kipaumbele chetu. Tunajali mali ya mteja kupitia utaratibu wetu wa huduma ya uwazi, uhakiki, kitaalamu usiotoa mwanya wa upotevu wa mali au taarifa yoyote ya ofisi na mteja. FIKA OFISI KWETU KWA UHITAJI WA VIFAA VYA SIMU, KOMPYUTA AU MATENGENEZO. Karibuni nyote.

06/03/2026
02/03/2026

Address

Kahama-town
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzanite Smart Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzanite Smart Technology:

Shortcuts

Share