Maujanja Don Chul shops

Maujanja Don Chul shops Phone Seller and Accessories

Kuanzia mwezi wa Nne mpaka mwezi wa Sita; mauzo ya simu duniani yameshuka kwa asilimia 7%. Ripoti mpya za Robo ya Pili y...
10/08/2022

Kuanzia mwezi wa Nne mpaka mwezi wa Sita; mauzo ya simu duniani yameshuka kwa asilimia 7%. Ripoti mpya za Robo ya Pili ya Mwaka (Q2 2022); zinaonyesha takribani simu Milioni 291 zimeuzwa katika kipindi cha Robo ya Pili ya mwaka huu. Ripoti mpya zinaonyesha Samsung inaendelea kuongoza duniani kwa kuuza takribani simu Milioni 62.5; Apple inafuata nafasi ya pili kwa kuuza simu Milioni 47.5; Xiaomi inafuata nafasi ya tatu kwa kuuza takribani simu Milioni 39.5; Oppo inashika nafasi ya Nne kwa kuuza simu Milioni 27.7 na Vivo inashika nafasi ya tano kwa kuuza simu Milioni 24.9. Brands nyingine zote zilizobaki kwa ujumla zimeuza takribani simu Milioni 97.1. Apple imeshikilia asilimia 16.3%; ambapo ni nafasi ya juu katika kipindi cha miaka 10. Hii ni robo ya pili ya mwaka, ambayo Apple imeuza simu nyingi ndani ya kipindi cha miaka 10.

Collection
13/02/2022

Collection

Brand NewAll Infinix availableSmart 4 Tsh 250,000/=HoT 8 lite... Tsh 280,000/=Hot 8..........Tsh 300,000/=Hot 9 play.......
21/05/2020

Brand New
All Infinix available
Smart 4 Tsh 250,000/=
HoT 8 lite... Tsh 280,000/=
Hot 8..........Tsh 300,000/=
Hot 9 play.......Tsh 320,000/=
Hot 9.......... Tsh 350,000/=
Note 5.........Tsh 380,000/=
S4...............Tsh 350,000/=
S5.............Tsh 430,000/=
Note 6........Tsh 550,000/=
Zero 6 pro.....Tsh 450,000/=
S5 pro...........Tsh 600,000/=
Note 7 lite......Tsh 450,000/=
📞 0755207374
Free delivery✅
1 YEar warranty✅

💥Macbok for sale 💥processor.2.26GHz intel core2    Duo 💥RAM 4GB 💥HDD 500GB💥Graphics NVIDIA GeForce 9400M 256 MB 💥conditi...
18/02/2020

💥Macbok for sale
💥processor.2.26GHz intel core2
Duo
💥RAM 4GB
💥HDD 500GB
💥Graphics NVIDIA GeForce 9400M 256 MB
💥condition new full box
💥price 750000
More details call +255755207374

Welcome
17/12/2019

Welcome

*Apple*_AirPods 2(2019)_Normal Charging CaseMV7N2 - 450,000_AirPods 2 (2019)_Wireless Charging CaseMRXJ2 - 500,000_AirPo...
12/12/2019

*Apple*
_AirPods 2(2019)_
Normal Charging Case
MV7N2 - 450,000

_AirPods 2 (2019)_
Wireless Charging Case
MRXJ2 - 500,000

_AirPods Pro (2019)_
Wireless Charging Case
MWPP2 - 750,000

WhatsApp +255755207374

Address

Don Chul Shop
Kahama

Opening Hours

Monday 06:30 - 19:00
Tuesday 06:30 - 19:00
Wednesday 06:30 - 19:00
Thursday 06:30 - 19:00
Friday 06:30 - 19:00
Saturday 07:00 - 18:30
Sunday 08:00 - 18:00

Telephone

+255755207374

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maujanja Don Chul shops posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maujanja Don Chul shops:

Share