Jifunze Computer Na Simu

Jifunze Computer Na Simu Pata stori mbalimbali kuhusu filamu na wasanii ikiwa pamoja na filamu recap

Page hii pia inatoa elimu mbalimbali na mafunzo ya computer na simu kupitia page hii utaelimika lakini pia tynatoa sapoti ya ufundi wa computer mahali popote ulipo tutakufikia na kukurekebishia computer yako

31/01/2026

Whatsapp 0754233541/Piga kujipatia kitabu

πŸŒŸπŸ“˜ JIFUNZE COMPUTER KUANZA MWANZO! πŸ’»βœ¨πŸ‘€ Umekuwa ukitaka kujua kompyuta kutoka mwanzo lakini hujui wapi kuanzia?βœ… Sasa hap...
06/09/2025

πŸŒŸπŸ“˜ JIFUNZE COMPUTER KUANZA MWANZO! πŸ’»βœ¨

πŸ‘€ Umekuwa ukitaka kujua kompyuta kutoka mwanzo lakini hujui wapi kuanzia?
βœ… Sasa hapa ni fursa yako ya kipekee!

πŸ“š Kitabu: Jifunze Computer Kuanza Mwanzo
πŸ’° Bei: Tsh 3,000 tu
πŸ“² Malipo: Tigo Pesa 0719633541
πŸ“ž Mawasiliano / WhatsApp: 0719633541 / 0754233541

πŸ”Ή Kila Kitu Kimefafanuliwa Kieleweke:

Maana halisi ya computer πŸ€–

Vifaa vya hardware na software πŸ–₯οΈπŸ’Ύ

Internet, email, na cloud storage 🌐☁️

Jinsi ya kuandika, kuhesabu, na kufanya presentations βœοΈπŸ“Š

Kujua jinsi yakutumia Windows na Application zingine

Kujua majina ya software mbalimbali na kazi zake

Social media na online business πŸ“±πŸ’Ό

Usalama wa data na antivirus πŸ”’πŸ›‘οΈ

Mifano halisi ya masomo, biashara, na freelancing πŸ«πŸ›’

πŸ”Ή Kwa Nani Kitabu Hiki Ni Muhimu?

πŸ‘©β€πŸŽ“ Mwanafunzi anayejifunza computer kwanza
πŸ’Ό Mfanyabiashara au freelancer mtandaoni
πŸ‘¨β€πŸ’» Mtu yeyote anayetaka kuongeza ujuzi wa digital

🌟 Manufaa:

Kutumia computer kwa masomo βœ…

Kufanya biashara mtandaoni βœ…

Kujiendeleza kwa skills za digital βœ…

Hifadhi data yako kwa usalama βœ…

πŸ’₯ Usikose hii nafasi!
πŸ‘‰ Piga au tuma WhatsApp sasa: 0719633541 / 0754233541
πŸ’° Lipia Tigo Pesa 0719633541, pata kitabu chako leo!

πŸ“’ Tengeneza maisha yako digital leo! Jifunze Computer Kuanza Mwanzo! πŸ’»πŸ”₯

πŸ”₯ UNATAKA KUINGIZA HELA KILA SIKU KWA SIMU YAKO? πŸ“±πŸ’°Kitabu cha Kiswahili kinachokufundisha:πŸ’Ž Njia zote za kuingiza pesa o...
14/08/2025

πŸ”₯ UNATAKA KUINGIZA HELA KILA SIKU KWA SIMU YAKO? πŸ“±πŸ’°

Kitabu cha Kiswahili kinachokufundisha:
πŸ’Ž Njia zote za kuingiza pesa online hatua kwa hatua
πŸ’Ž Kuanzisha biashara bila mtaji na kupata mtaji wa kukuza biashara
πŸ’Ž Mikakati ya kupata wateja 1000+ kwa siku hata k**a umeanza leo
πŸ’Ž Mifano halisi ya Kitanzania kwa matokeo ya haraka

πŸ“‚ PDF – Unapewa papo hapo baada ya malipo
πŸ’΅ Bei: 3,000/= tu (ndio, elfu tatu tu!)

Njoo Whatsapp 0719633541

12/08/2025

πŸ’» "JIFUNZE UFUNDI COMPUTER KWA VITENDO – PART 1"
Kitabu hiki kinakufundisha kwa lugha rahisi, hatua kwa hatua, jinsi ya kutambua na kutatua matatizo yote ya kompyuta β€” kuanzia motherboard, processor, RAM, HDD/SSD, graphics card, PSU, cooling system, peripherals, BIOS, hadi network card.
Kinakuja na mifano halisi ya Tanzania na scenario za mafundi mitaani ili hata k**a wewe sio mtaalamu, utaelewa haraka na kuanza kufanyia kazi mara moja.

πŸ’‘ Utajifunza:
βœ… Kutatua matatizo ya kompyuta bila hofu
βœ… Mbinu za kuzuia matatizo yasitokee tena
βœ… Vifaa vya lazima kwa fundi wa kompyuta
βœ… Siri za mafundi wakongwe mitaani

πŸ’° Bei: TSH 5,000 tu!
πŸ“± M-Pesa: 0754 233 541
πŸ“± Tigo Pesa: 0719 633 541

πŸ”₯ Usikubali mteja akukimbie kwa sababu hujui tatizo la kompyuta!
Pata kitabu hiki leo β€” kesho uwe fundi kinara wa mitaa yako!

πŸ“¦ Njia ya kupata: Lipa kupitia namba hapo juu kisha utapokea kitabu kwenye simu yako au email mara moja.

⚑ Ujuzi ni mtaji – Usichelewe! ⚑

Whatsapp 0754233541
10/08/2025

Whatsapp 0754233541

πŸ“˜ KITABU MOTO KABISA! πŸ”₯πŸ“± JIFUNZE UFUNDI SIMU KWA VITENDOπŸ‘¨β€πŸ”§ Kwa Wanaotaka Kuanza au Kubobea kwenye Ufundi Simu!πŸ”§ Yaliyom...
31/07/2025

πŸ“˜ KITABU MOTO KABISA! πŸ”₯

πŸ“± JIFUNZE UFUNDI SIMU KWA VITENDO
πŸ‘¨β€πŸ”§ Kwa Wanaotaka Kuanza au Kubobea kwenye Ufundi Simu!

πŸ”§ Yaliyomo Ndani ya Kitabu:

βœ… Mafunzo ya Hardware – Fungua na Tambua kila sehemu ya simu
βœ… Mafunzo ya Software – Kutatua matatizo ya software kwa apps na tools sahihi
βœ… Kutambua na Kutatua matatizo yote ya simu (zote!)
βœ… Ufundishaji kwa lugha nyepesi ya Kiswahili
βœ… Hatua kwa hatua k**a uko darasani – kwa vitendo kabisa!

πŸ“— Imeandikwa na: Bizz wa Infotech Success
πŸ’° Bei ni Tsh 5,000 tu – Unapata elimu kubwa kwa bei ndogo sana!

πŸ“² Mawasiliano:
πŸ“ž Simu / WhatsApp: 0754 233 541

⚠️ Uchumi ni mgumu, lakini ujuzi huu unaweza kukupa mamilioni!
Soma kitabu hiki, anzisha biashara yako leo πŸ”ŒπŸ’Ό

πŸ›’ Unataka nakala yako sasa?
Tuma ujumbe: "Naomba Kitabu cha Ufundi Simu" kupitia WhatsApp sasa hivi!

"Panda USB Vaccine ni programu inayolinda kompyuta yako dhidi ya virusi zinazotumia USB kusambaa. Inazuia virusi kuanzis...
19/07/2025

"Panda USB Vaccine ni programu inayolinda kompyuta yako dhidi ya virusi zinazotumia USB kusambaa. Inazuia virusi kuanzisha kazi zao moja kwa moja kwenye flash drive, hivyo kuzuia virusi kusambaa na kulinda data zako."

Kitabu cha Pc maintenance au ufundi computer kwa upande wa hardware kimekamilika kwa lugha ya kiswahili..kinafundisha ma...
28/02/2025

Kitabu cha Pc maintenance au ufundi computer kwa upande wa hardware kimekamilika kwa lugha ya kiswahili..kinafundisha matatizo yote ya hardware na suluhu zake kwa kiswahili...hizo chini ni baadhi ya pages zake ...Anaehitaji kipo Aje whatsapp 0754233541

Mambo muhimu baada ya kupiga windows haya hapaπŸ‘‰tengeneza system restore pointπŸ‘‰install na update drivers onlineπŸ‘‰enable pr...
23/09/2024

Mambo muhimu baada ya kupiga windows haya hapa
πŸ‘‰tengeneza system restore point
πŸ‘‰install na update drivers online
πŸ‘‰enable processor to maximum number of cores
πŸ‘‰install malware removal softwares
πŸ‘‰install antivirus software ilio active na keys
πŸ‘‰update windows kwa wale wa win 10
πŸ‘‰install visual c++ redistributable kwa win7
πŸ‘‰install netframework kwa win7 users
πŸ‘‰install system care softwares
Mwisho utaweka software zako k**a vlc

NB Kwa mahitaji ya system care softwares na antivirus wasiliana nami whatsapp 0754233541 piga 0785874607

Address

Iringa

Telephone

+255754233541

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jifunze Computer Na Simu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share