Kinka Computer

Kinka Computer UKURASA MAALUMU UNAOTOA TAARIFA, MATUKIO NA HUDUMA ZA (KiNKA)
JIUNGE NASI ILI UPATE TAARIFA ZAID.

17/07/2026
๐Ÿ“˜ SOMO LA 4:Tofauti kati ya HDD na SSD๐Ÿ’พ HDD (Hard Disk Drive)โœ” Bei nafuuโœ” Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafailiโœ” Inafaa kwa ...
28/05/2026

๐Ÿ“˜ SOMO LA 4:
Tofauti kati ya HDD na SSD

๐Ÿ’พ HDD (Hard Disk Drive)
โœ” Bei nafuu
โœ” Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili
โœ” Inafaa kwa movies, music, documents na matumizi ya kawaida

Hasara yake:
โŒ Speed yake ni ndogo kidogo

โšก SSD (Solid State Drive)
โœ” Speed kubwa sana
โœ” Computer kuwaka haraka
โœ” Programu kufunguka fasta
โœ” Inapunguza kuganda kwa computer

Inafaa kwa:
๐ŸŽฌ Editing
๐ŸŽง Studio
๐Ÿ’ผ Office nzito
๐ŸŽฎ Games
Na kazi zinazohitaji speed kubwa

๐Ÿ‘‰ โ€œSSD ni k**a kuongeza injini ya speed kwenye computer yako.โ€

Mfano:
Computer yenye HDD inaweza kuwaka ndani ya dakika 1
Lakini yenye SSD inaweza kuwaka ndani ya sekunde 10โ€“20 tu ๐Ÿš€

๐Ÿ“˜ SOMO LA 3:RAM ni nini na kwa nini ni muhimu?๐Ÿง  RAM ndiyo โ€œspeed ya akili ya computerโ€Kazi yake ni kusaidia computer kuf...
27/05/2026

๐Ÿ“˜ SOMO LA 3:
RAM ni nini na kwa nini ni muhimu?

๐Ÿง  RAM ndiyo โ€œspeed ya akili ya computerโ€
Kazi yake ni kusaidia computer kufanya mambo mengi kwa haraka bila kuganda au kuchelewa.

Mfano:
Ukifungua Chrome, Word, kuplay Music, Kuconvert, kukopy vitu sehem nyingi kwa wakati mmoja n.k kwa pamoja
RAM ndiyo inayosaidia vyote vifanye kazi vizuri kwa wakati mmoja.

๐Ÿ”น 4GB RAM
Inafaa kwa matumizi ya kawaida
(Word, typing, browsing, Kulusha movies)

๐Ÿ”น 8GB RAM
Inafaa kwa biashara, office na matumizi ya kila siku kwa speed nzuri (kwa wenye foleni kubwa ya wateja)

๐Ÿ”น 16GB RAM
Kwa kazi nzito zaidi
(Video editing, gaming, graphics, multitasking kubwa) pia humcheleweshi mteja

๐Ÿ‘‰ RAM ikiwa ndogo sana computer inaweza kuwa nzito au kuganda
๐Ÿ‘‰ RAM kubwa inasaidia computer kufungua programu kwa haraka na kufanya kazi smoothly bila kukwama ๐Ÿ’ป๐Ÿ–ฅ๏ธ

๐Ÿ“˜ SOMO LA 2:  Tofauti kati ya Processor i3, i5 na i7Processor ni โ€œubongoโ€ wa computer ๐Ÿ’ป๐Ÿง Kazi yake ni kufikiria na kuende...
26/05/2026

๐Ÿ“˜ SOMO LA 2:
Tofauti kati ya Processor i3, i5 na i7

Processor ni โ€œubongoโ€ wa computer ๐Ÿ’ป๐Ÿง 
Kazi yake ni kufikiria na kuendesha kila kitu ndani ya computer.

Mfano: Ukifungua music, kuandika Word, kucheza game, Kuconvert au kuingia internet โ€” processor ndio inayochakata hizo kazi zote.

Processor huwa na aina k**a:
Intel Core i3
Intel Core i5
Intel Core i7

Tofauti yake ni nguvu na speed ya kazi.

๐Ÿ’ป i3
Inafaa kwa matumizi ya kawaida (typing, browsing, Excel)
๐Ÿ’ป i5
Kwa ofisi na biashara (kazi nzito)
Ina speed nzuri
๐Ÿ’ป i7
Kwa kazi nzito zaidi (design, video editing, programming)
Inaokoa unamsongamano wa wateja/kazi kwenye biashara yako

๐Ÿ‘‰ โ€œChagua processor kulingana na kazi yako, siyo kwa sifa tu.โ€

๐Ÿ“˜ SOMO LA 1:Kuelewa Computer kabla ya kununuaWateja wengi hununua bila kujua tofauti ya vifaa.๐Ÿ’ป Computer ina sehemu kuu ...
25/05/2026

๐Ÿ“˜ SOMO LA 1:
Kuelewa Computer kabla ya kununua

Wateja wengi hununua bila kujua tofauti ya vifaa.
๐Ÿ’ป Computer ina sehemu kuu 4:
Processor (i2, i3, i5, i7)
RAM (speed ya kazi)
HDD/SSD (uhifadhi)
Motherboard (sehemu inayounganisha vifaa vyote)

๐Ÿ‘‰ Computer nzuri si bei tu, ni matumizi yako ndio yanayoamua.

Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! ๐ŸŒโœจMashine ya kazi kweliโ€”ipo fasta, imara na inafany...
24/04/2026

Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! ๐ŸŒโœจ
Mashine ya kazi kweliโ€”ipo fasta, imara na inafanya kazi zako zote bila kusuasua ๐Ÿ’Ž

๐Ÿ’ป Jipatie Computer Complete:
๐Ÿ”น HP Z210
๐Ÿ”น HDD 500GB
๐Ÿ”น RAM 4GB
๐Ÿ”น Monitor 24โ€
๐Ÿ”น Keyboard & Mouse

๐Ÿ’ฐ Bei ni nafuu sana + unapata punguzo la kipekee ๐ŸŽ

๐Ÿš€ Inafaa kwa:
โœ” Ofisini
โœ” Biashara (Cyber, Library, Studio, Printing, nk)
โœ” Matumizi ya nyumbani na masomo

๐Ÿ–ผ BONUS:
Pata mabango HD tayari yameandaliwa kabisa โ€” unafika unachagua, hakuna kusubiri foleni!

๐Ÿ“ฒ Wahi mapema uwe wa kwanza kupata ofa hii kabla hazijaisha!

๐ŸŒ…โœจ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! โœจ๐ŸŒ…Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa...
05/04/2026

๐ŸŒ…โœจ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! โœจ๐ŸŒ…

Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa Yesu Kristo katika Sikukuu ya Pasaka.

Katika kipindi hiki cha tumaini jipya, tunawatakia wateja wetu na familia zenu:
๐Ÿค Amani ya kweli
๐Ÿค Upendo wa dhati
๐Ÿค Mafanikio mapya

Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. Tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu na ubora wa hali ya juu.

Heri ya Pasaka! ๐Ÿ™โœจ



K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya ๐Ÿคซ, tafakari ๐Ÿ•ฏ๏ธ, na shukrani ๐Ÿ™.Tunapenda kukuk...
04/04/2026

K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya ๐Ÿคซ, tafakari ๐Ÿ•ฏ๏ธ, na shukrani ๐Ÿ™.

Tunapenda kukukaribisha kwenye duka letu ili tukuhudumie mteja wetu mpendwa ๐Ÿ’–. โฃโฃโฃโฃ

Hapa dukani kwetu, kuna bidhaa mbalimbali zinazokidhi mahitaji yako, k**a vile:
Kompyuta Mpya ๐Ÿ’ป
Hard Disk Original ๐Ÿ’พ
Mabango HD ๐Ÿ–ผ๏ธ n.k.

Tunafuraha kukujulisha kuwa kesho na kesho kutwa tutakuwa na offa maalum ya punguzo la bei ๐Ÿ’ฐ, k**a shukrani na sadaka kwa wewe, mteja wetu wa thamani ๐ŸŒŸ.

Pamoja tuko nawe, tena na tena ๐Ÿคโœจ

K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye ti...
01/04/2026

K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye tija ๐Ÿ’ผโœจ

Leo tunajivunia kumtambulisha Mteja wetu wa nguvu __________ kutoka Nyehunge ๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ

Alianza safari yake kwa kuwekeza kidogo kidogo kupitia mfumo wetu wa HABA & HABA ๐Ÿ’ฐโžก๏ธ๐Ÿ’ป
Na hatimaye leo amefikia lengo lake na kuchukua Computer Complete kwa bei elekezi maalum kutoka kwa Mr. Bei Kitonga ya Tsh 350,000 tu ๐Ÿฅณ

Sio hivyo tu!
Pia ametuchangia HDD 3TB kwa bei ya punguzo ๐ŸŽ‰๐Ÿ’พ

Hongera sana kwa uamuzi sahihi na uwekezaji wenye tija! ๐Ÿ‘

Na wewe pia karibu ujiunge nasi ๐Ÿค

Endelea kuwa mwanafamilia wetu, ujifunze kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji kupitia huduma zetu pamoja na mbinu rahisi na salama za kuongeza mtaji wako ๐Ÿ“ˆ

๐Ÿ“ฒ Tufollow kwenye mitandao ya kijamii:

๐Ÿค™ 0764611871




Address

Kinka Movies Bugulula
Geita
2022

Opening Hours

Monday 08:00 - 21:00
Tuesday 08:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 21:00
Thursday 08:00 - 21:00
Friday 08:00 - 21:00
Sunday 10:00 - 16:00

Telephone

+255713657793

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinka Computer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kinka Computer:

Shortcuts

Share

Category