HyperTechnologies

HyperTechnologies For Tracking Services

06/06/2022
HUDUMA YA ULINZI WA  STORE, MADUKA  PAMOJA NA NYUMBA.  Hyper Technologies pia inapenda kuwataarifu wateja wake na raia k...
05/06/2022

HUDUMA YA ULINZI WA STORE, MADUKA PAMOJA NA NYUMBA.

Hyper Technologies pia inapenda kuwataarifu wateja wake na raia kwa ujumla kwamba wamekuja na huduma mpya, bora, na yakisasa zaidi inayomuwezesha mteja wake kua na amani na mali zake zilizomo madukani , store ama pia kwa wale wanaoziacha nyumba zao tupu pia huduma hii ni mzuri kwao kwa ulinzi na uhakika wa mali zao.
NAMNA HUDUMA HII INAVYO FANYA KAZI.

1. Kupata taarifa ya papo kwa papo kupitia mfumo wa GSM(Call & SMS) punde muhalifu anapoingia katika duka lako kwa njia yeyote ile (Real Time Report)

2. System yetu itaweza kuwasha alarm na kutoa sauti kubwa ya kumkimbiza mwizi punde anapoingia katika duka au nyumba yako.

3. System itaweza kuwasha taa zilizomo dukani au nyumbani ili kuweza kummurika muhalifu.
Mawasiliano
Wasap: 255772896054
Call: 255777689363

05/06/2022

Address

Tanzania, Zanzibar
Fuoni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HyperTechnologies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share