Simk Digital hubs

Simk Digital hubs We Help Fashion, Beauty, Food & lifestyle Brands Grow Online and Attract Real Customers with SM Strategy & Paid Ads

07/09/2026
04/09/2026

Kila biashara inahitaji Mfumo sahihi wa kuongeza mauzo, mfumo endelevu ambao unaweza ukauscale na kuhakikisha unakuwa kadri biashara inavyokuwa

K**a unahitaji tukusimamie biashara yako ili uweze kuongeza mauzo kupitia mifumo sahihi ya kimasoko na Matangazo kupitia digital platforms wasiliana nasi sasa

Call/WhatsAppp 0675899838...

28/08/2026

ROAS (Return On Ad Spend) ni moja ya metrics muhimu zaidi katika kupima mafanikio ya tangazo lako.

Watu wengi huangalia CTR, Likes, Comments au Reach na kudhani tangazo limefanya vizuri. Lakini swali muhimu ni

Kila Tsh 1 uliyowekeza kwenye matangazo imekuletea mapato kiasi gani?

ROAS ndiyo hukusaidia kupata jibu la swali hilo.

Mfano:

Umetumia Tsh 50,000 kuendesha matangazo na ukapata mauzo ya Tsh 300,000.

ROAS = 300,000 ÷ 50,000 = 6

Hii ina maana kila Tsh 1 uliyowekeza kwenye matangazo imezalisha Tsh 6 za mapato.... hivyo Tsh elfu Hamsini imezalisha Mapato ya Tsh Laki Tatu

Lakini kuna jambo muhimu ambalo wafanyabiashara wengi hulisahau...

ROAS haionyeshi faida (Profit)

ROAS inaonyesha mapato yaliyopatikana kutokana na matangazo, lakini haijumuishi gharama nyingine za biashara k**a

• Usafirishaji
• Mishahara
• Kodi
• Gharama za uendeshaji wa biashara

Ndiyo maana unaweza kuwa na ROAS nzuri lakini bado faida ikawa ndogo...

Kumbuka

✔ Reach huonyesha Umefikia Watu wangapi
✔ CTR huonyesha kiasi gani watu wamevutiwa na Tangazo lako
✔ leads Huonyesha watu walioonyesha Nia ya Kununua
✔ ROAS huonyesha Matangazo yameingiza Mapato Kiasi Gani.

Usiangalie tu watu wangapi wameona Tangazo Lako.

Angalia Pia limeingiza Pesa Kiasi Gani kwenye Biashara Yako..

Follow us For more contents zenye kuhusu Kukuza biashara kwa Kutumia mifumo sahihi ya kujitangaza kupitia masoko ya kidigitali....

27/08/2026

sponsored Ads ( Matangazo ya Kulipia ) sio chanzo cha wewe kushindwa kuuza huduma au biashara Yako... Ukielewa Vizuri Mfumo wa jinsi Attention inavyoundwa hadi kugenerate Quality Leads... Utabadilisha kabisa mind set yako na namna ambavyo ulikuwa unayachukulia matangazo...Matangazo ni Tool...kati ya mifumo mingi inayowezesh mauzo kwenye Biashara

Follow account yetu upate tips za namna ya kuongeza mauzo na kuitangaza biashara yako kupitia Digital Platforms kwa kutumia Mifumo Sahihi itakayokuza biashara Yako...

For Consultation/Booking
Call/WhatsApp 0675899838




Nilimuuliza mteja swali moja baada ya kuanza kumsimamia matangazo YakeBaada ya siku 5, jibu lake lilikuwa..."So far nime...
25/08/2026

Nilimuuliza mteja swali moja baada ya kuanza kumsimamia matangazo Yake

Baada ya siku 5, jibu lake lilikuwa...

"So far nimefanya mauzo ya zaidi ya Million 1 kutokana na matangazo, na wateja wengi wanakuja hapa hapa ofisini..."

Haya ndiyo matokeo yanayotokea unapounganisha matangazo sahihi na mfumo sahihi wa biashara.

Watu wengi huongeza budget wakiamini ndiyo suluhisho.

Lakini mara nyingi changamoto huwa:
• Audience isiyo sahihi
• Creative zisizovutia
• Offer isiyoshawishi
• Mfumo dhaifu wa kufuatilia wateja

Matangazo yanapowekwa na kusimamiwa kwa mkakati sahihi, yanaweza kuleta wateja halisi na mauzo yanayopimika.

Je, Meta Ads zako zinakuletea matokeo unayotarajia?

K**a unahitaji kuongeza mauzo kupitia Meta Ads na mifumo sahihi ya biashara, Simk Digital Hubs tutakusaidia.

📞 Call/WhatsApp: 0675 899 838





Wafanyabiashara WengiMauzo yakipungua...Wanakimbilia kubadilisha tangazo.Kubadilisha picha.Kubadilisha video.Kuongeza ba...
25/08/2026

Wafanyabiashara Wengi

Mauzo yakipungua...
Wanakimbilia kubadilisha tangazo.
Kubadilisha picha.
Kubadilisha video.
Kuongeza bajeti.

Lakini wakati mwingine tatizo halipo kwenye tangazo.

Tatizo linaanza namna unavyowapokea wateja wall WhatSApp

Ndiyo maana biashara mbili zinaweza kupata idadi inayofanana ya wateja watarajiwa ( Leads )

Lakini moja ikauza mara mbili au tatu zaidi ya nyingine.

Kabla hujaongeza bajeti ya matangazo mwezi huu, jiulize swali moja:

Je, kila mtu anayekufikia anapata uzoefu unaomshawishi kunuanua ??

👇👇👇 Tuambie Umefijifunza nini Hapa chini kwenye Comment..!

Wateja Hawakumbuki Ulichowaambia au kuwauzia. Hukumbuka Ulivyowafanya Wajisikie baada ya kuwahudumia.Biashara nyingi huw...
22/07/2026

Wateja Hawakumbuki Ulichowaambia au kuwauzia. Hukumbuka Ulivyowafanya Wajisikie baada ya kuwahudumia.

Biashara nyingi huwekeza muda mwingi kuboresha bidhaa na kuongeza mauzo ambacho sio kitu Libya kabisa....

Lakini wengi husahau kitu kimoja kinachowafanya wateja warudi tena.

Customer Experience.

Mteja hawezi kukumbuka kila maelezo ya bidhaa yako

Lakini atakumbuka jinsi alivyopokelewa....

Atakumbuka jinsi ulivyomjibu...

Atakumbuka k**a uliheshimu muda wake...

Atakumbuka k**a ulimtatulia tatizo lake kwa weledi..na kiwanis alichokuwa anatamani

Na zaidi ya yote, atakumbuka jinsi alivyojihisi na kujisikia baada ya kufanya biashara na wewe.

Biashara nyingi hupoteza wateja si kwa sababu zina bidhaa mbaya...

Bali ni kwa sababu zinatoa uzoefu kwa mteja ambao hauwafanyi wateja watake kurudi tena

Kumbuka, bidhaa nzuri inaweza kukuletea mauzo mazuri ya kwanza...hapa biashara huwa inanoga sana. Kwa sababu wengi wanakuwa ni wateja wako bado hawana uzoefu na wewe

Lakini baada ya hapo Customer Experience ndiyo itakayoleta mauzo ya pili, ya tatu,..... na kuwafanya wateja wakupendekeze na wakutaje kwa wengine.

Usijiulize tu...

"Nimemuuzia nini mteja?"

Jiulize pia...

"Nimemuacha na hisia gani baada ya kufanya biashara na mimi ?"

Kwa sababu mwisho wa siku, biashara zinazokua kwa kasi si zile zinazouza zaidi.....

Bali Ni zile zinazounda uzoefu ambao wateja hawausahau...na watatamani kuupata Kila siku uzoefu huo

Je, ni bidhaa ipi au huduma ambayo uliwahi kuipata na badae ukarudi tena kununu si kwa sababu ya bidhaa yake pekee, bali kwa sababu ilikupa Customer Experience ya kipekee?

Tuambie kwenye comments.

03/07/2026

Maandalizi mazuri ya Tangazo lako ( Video au Picha Utakayoitumia ) ndiyo Msingi wa kwanza kabisa wa matokeo mazuri ya Tangazo lako kabla hata hujawaza kuweka budget

For Booking / Appointment Only
Call 0675899838

26/06/2026

For Appointment Only
Call/WhatsApp 0675899838

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simk Digital hubs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share