DH computerz

DH computerz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DH computerz, Computers (Brand), Dodoma.

Tuangalie sababu KUBWA zinazofanya computer kuwa nzito katika utendaji kazi na solution zake1. Ram (random access memory...
04/08/2020

Tuangalie sababu KUBWA zinazofanya computer kuwa nzito katika utendaji kazi na solution zake
1. Ram (random access memory)
hiki ni kifaa au kichochezi muhimu sana katika mfumo mzima wa ufanyaji kazi wa computer ambacho katika ufanyaji kazi huo huambatana na processor na hard disk....Ram inapokuwa ndogo sana husababisha pia uchapaji kazi nao kuwa mdogo.....hakikisha Ram iliyopo kwenye computer yako ni kubwa inayomudu kazi zako na speed ya processor yako at least 4gb
2. Processor (cpu)
part hii ndy ubongo wa computer na ili fanye kazi vizuri lazima kuwe na proper cooling system ambayo itaipooza pale inapofanyakazi kwa muda mrefu na kupata joto sana. computer isipo fanyiwa service kwa muda mrefu inaweza kuiathiri processor km ifwatavyo....vumbi na uchafu wa muda mrefu huziba matundu ya hewa na kufanya feni isifanye kaz km inavyotakiwa na hivyo processor haipati hewa ya kutosha hivyo hupata joto jingi na meishowe inakuwa nzito hata kufeli kabisa.....hakikisha computer yako inafanyiwa service na kusafishwa ipasavyo, hakikisha cooling system ipo sawa matundu hayajaziba na feni ni nzima
3. Hard disk
hii ndy storage ya computer ambapo data zinahifadhiwa, inapokuwa na shida au tatizo hard disk mfano katika 'sector' huweza kusababisha kufeli katika ku read and write data zilizopo katika spinning disk hivyo kuwa nzito .pia storage inapokuwa ndogo hadi kuindicate RED husababisha computer kuwa nzito kwa sababu ya nafasi ndogo au kutokuwa na nafasi kabisa ya kuchakata data!.....hakikisha hard disk ni nzima na inanafasi ya kutosha au blue color indication inatosha avoid red colour!!

hzo ni baadhi ya Sababu KUBWA lakini zipo ndogo ndogo pia....see yu next post

Adobe photoshop cs6je unahitaji photoshop kwaajili ya editing ya picha na kudesign bronchures,flyers,banners na vinginev...
02/08/2020

Adobe photoshop cs6
je unahitaji photoshop kwaajili ya editing ya picha na kudesign bronchures,flyers,banners na vinginevyooo.. wasiliana nasi ujipatie software hii kwa bei poaa kabsa haijalishi upo wapi
Tunainstall na kuuza setup pia...
welcome all
whatsapp/call/text/ 0748258635
whatsapp/call/text /0748258635

JE! unataka kujifunza namna ya kupiga   kwenye computer/ laptop ya aina yoyote ile??kuanzia window xp, 7, 8 and 10. je u...
02/08/2020

JE! unataka kujifunza namna ya kupiga kwenye computer/ laptop ya aina yoyote ile??
kuanzia window xp, 7, 8 and 10. je unataka kujifunza namna ya ku Upgrade windows zote? bas keep in touch! tunatoa lesson na walioko mbali tunapga online lesson kila siku wasiliana nasi...
whatsapp/call/text 0748258635
whatsapp/call/text 0748258635
only for serious!
..pia tembelea page yetu DH Computerz kwa mengine zaid & like 4r updates

02/08/2020
02/08/2020

Hellow guys!!
karibu dhcomputerz ujipatie huduma mbalimbali za computer ikiwemo...
repair..
k**a computer yako ina tatizo lolote na unahitaji kulitatua iwe hardware au software usisite kuwasiliana nasi
diagnostic
softwares upgrades
km unahitaji ku upgrade softwares za laptop/computer yako katika version mbalimbali mfano operating system (windows) kuwa katika latest version tuwasiliane
hardwares upgrades
je unahitaji ku upgrade RAM mfano 2gb to 4gb..etc, hard disk kuanzia 320gb to 1Tb na kuendelea pamoja na hardwares nyinginezo
recovery
je! storage/hard disk yako ina tatizo..
-haisomi kwenye computer, na unahofia kupoteza data zako?
-inatoa sauti( kiashiria cha ubovu)..etc
-tunarecover data katika hard disk, flash disk, memory card na storage nyinginezo..
windows aina zote na kuweka programs kweny computer
drivers
-iwapo laptop au desktop drivers zimefel hazfanykaz karibu tukuhudumie
softwares za computer
-windows aina zote (Genuine)
-microsoft offices
-photoshop
-antivirus na nyinginezo nyingi...
consultations
ikiwa unahitaji ushauri/kujua/kufahamu chochote kuhusu computer tutafute kweny namba mwishon hpo
course/lessons
je! unataka kujifunza namna ya kupiga WINDOWS na kufanya INSTALLATION mbalimbali bila kujali sehemu ulipo au muda.. wasiliana nasi bei ni nafuu sana..hutojutia..tupo dodoma Tanzania.
click whatsap button hapo juu kweny page itakupeleka moja kwa moja had kweny whatsap account yangu..

whatsap/call/text 0748258635
whatsap/call/text 0748258635
no jokes!!

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DH computerz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share