Ets tech

Ets tech Hii ni kurasa inayomilikiwa na kampuni ya Entre Tech Solutions ikiwa na lengo la kuziba nafasi kati

24/09/2026
24/09/2026

Hujachelewa wala haujawahi rafiki.

Just keep pushing wakati wako utafika.

Kikubwa Dua

Karibu sana etstechtz

23/09/2026

IP Video Door Intercomm

Hii inamruhusu mteja kuwasiliana na mtu aliye nje na nyumba yake hata kabla hajamfungulia mlango/geti.

Uzuri wa hii IP Video Intercomm anaweza kupokea hata kwa kutumia simu popote pale alipo sio nyumbani kwake tu.

Teknolojia imerahisisha sana mambo karibu Tukuhudumie

22/09/2026

Delivery tunafanya pia Ma-Boss zetu.

Tupigie unahitaji Nini kutoka kwetu iwe:
✓ Cctv Camera
✓ Gate Motor
✓ Electric Fence
✓ Door Video Intercomm
✓ Biometrics and Fingerprints
✓ Alarm Systems
✓ Vifaa vya Kompyuta

Na Vingine vingi..

Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.

Tupigie kwa simu namba: 0655312158 || 0766312158

Karibuni sana

Cctv Camera (Tiandy) na Accessory Zingine za Camera  zinapatikana Ofisini kwetu.Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindin...
21/09/2026

Cctv Camera (Tiandy) na Accessory Zingine za Camera zinapatikana Ofisini kwetu.

Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.

Mikoani tunafika na kutuma mizigo kwa uaminifu mkubwa kabisa.

Tupigie kwa simu namba : 0655312158 || 0766312158

Karibuni sana

21/09/2026

Gate Motor Maintanance

etstechtz sio tu tunauza na kufunga Gate Motors pia tunatengeneza Gate Motors zilizopata changamoto.

Karibu Tukuhudumie

17/09/2026

Video Door Intercomm za IP na za Analog utazipata dukani kwetu Uhindini Dodoma.

Tupigie kwa simu namba:0655312158 || 0766312158

Karibuni sana

17/09/2026

Cctv Camera Installation ( 0655312158 || 0766312158 )

Iwe unataka kufunga Cctv Camera Sheli,iwe ofisini iwe nyumbani au shambani kwako tupigie etstechtz tumalize jambo.

Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.

Mikoani tunafika na kutuma mizigo kwa uaminifu mkubwa kabisa.

Tupigie kwa simu namba: 0655312158 || 0766312158

Karibuni sana

16/09/2026

Kazi Safi kabisa

Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255766312158

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ets tech posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ets tech:

Shortcuts

Share