Swahili Software

Swahili Software Kampuni ya Kitanzania Inajihusisha na utengenezaji mifumo mbali mbali ya komputer kuanzia tovuti (Website) hadi program tumishi za simu (Mobile Apps)

Kutunza taarifa za biashara yako katika daftari kunaweza kuua biashara yako kwani ni ngumu kujua hali ya biashara yako k...
28/08/2026

Kutunza taarifa za biashara yako katika daftari kunaweza kuua biashara yako kwani ni ngumu kujua hali ya biashara yako kwa wakati,daftari linakuwa mbali na wewe hivyo si muda wote unaweza kuona kilichoendelea dukani,daftari linaweza kuharibika au kupotea,daftari lina kufanya upige hesabu moja moha ila Ukiwa na mfumo wetu wa Bila hasara haya yote utayaepuka kwani mda wote unakuwa na uwezo kuona kilichouzwa dukani na mzigo uliobakia.....! Amua leo kutumia Bila hasara kwa ukuaji wa biashara yako. 0718 660 882

πŸ“’Kutafuta kurasa kwenye daftari ili kujua uliuza nini jana inachosha na kupoteza muda! 😩 Mfumo wa kutumia makaratasi una...
31/07/2026

πŸ“’Kutafuta kurasa kwenye daftari ili kujua uliuza nini jana inachosha na kupoteza muda! 😩 Mfumo wa kutumia makaratasi unakupa picha finyu ya ukuaji wa biashara yako na ni rahisi sana kusahau kuandika baadhi ya mauzo.
Badilisha mfumo leo! App ya Bila Hasara inakupa uwezo wa kusimamia biashara yako yote kwenye simu yako. Jua idadi ya bidhaa zilizopo, mauzo ya siku, na matumizi kwa kubofya tu. Hesabu zote zinajipiga zenyewe na kukuokolea muda mwingi!
Anza sasa hivi, kwa kujisajili kupitia www.bilahasara.co.tz au tupigie na kutuma ujumbe whatsapp tuandikie 0718 660 882
Tupo Dodoma mjini stendi kuu ya mabasi Nzuguni ghorofa ya kwanza ,Chumba namba moja.

πŸ‘‰ Jisajili bure leo: www.bilahasara.co.tz

Kutafuta kurasa kwenye daftari ili kujua uliuza nini jana inachosha na kupoteza muda! 😩 Mfumo wa kutumia makaratasi unak...
18/07/2026

Kutafuta kurasa kwenye daftari ili kujua uliuza nini jana inachosha na kupoteza muda! 😩 Mfumo wa kutumia makaratasi unakupa picha finyu ya ukuaji wa biashara yako na ni rahisi sana kusahau kuandika baadhi ya mauzo.
Badilisha mfumo leo! App ya Bila Hasara inakupa uwezo wa kusimamia biashara yako yote kwenye simu yako. Jua idadi ya bidhaa zilizopo, mauzo ya siku, na matumizi kwa kubofya tu. Hesabu zote zinajipiga zenyewe na kukuokolea muda mwingi!
Anza sasa hivi, pakua app ya Bila Hasara kwenye Google Play Store. πŸ“²
tupigie sasa au fika ofisini kwetu Dodoma mjini stendi kuu ya mabasi ghorofa ya kwanza -- 0718 660 882

Kwa msimu huu wa 77 na 88 tunatoa huduma za Website,Hosting na Domain kwa punguzo la hadi 40% ya bei yetu ya mwanzo ya T...
07/07/2026

Kwa msimu huu wa 77 na 88 tunatoa huduma za Website,Hosting na Domain kwa punguzo la hadi 40% ya bei yetu ya mwanzo ya Tsh 730,000.
Kwa sasa tutakutengenezea website pamoja ku ihost kwa gharama ya Tsh 550,000 tu .
Muda wa kuikamilisha website yako ni siku 5 hadi 10 za kazi ,Unaweza kufika ofisini kwetu stendi kuu ya mabasi Dodoma ghorofa ya kwanza au kuwasiliana nasi whatsapp 0718 660 882 au kutupigia kwa simu ya kawaida.

Ni furaha yetu kukupatiwa website ya ndoto yako.

Website ndio jukwaa pekee la mtandaoni litakaloisaidia biashara yako kutambulika kimataifa na kufanya kazi kwa masaa yot...
25/06/2026

Website ndio jukwaa pekee la mtandaoni litakaloisaidia biashara yako kutambulika kimataifa na kufanya kazi kwa masaa yote 24 ndani ya siku 7 za week.

K**a hauna website kwa ajili ya biashara yako ni wazi kuwa upo nje ya muda na unakosa wateja wengi sana ,sasa kubwa na la.muhinu ni wewe kuwa na website leo.

Na k**a huna kampuni ya kukutengenezea website basi karibu kwetu sisi swahili software tupo kuifanya kazi hiyo kwa ajili yako.

Tupigie leo au fika ofisini kwetu Dodoma mhini stendi kuu ya mabasi ghorofa ya kwanza au Whatsapp 0718 660 882

13/06/2026
Karibu tukupatie website nzuri sana kwa ajili ya biashara yako.Tupigie leo 0718660882 au fika ofisini kwetu nanenane ste...
31/05/2026

Karibu tukupatie website nzuri sana kwa ajili ya biashara yako.
Tupigie leo 0718660882 au fika ofisini kwetu nanenane stendi kuu ya mabasi ghorofa ya kwanza Dodoma mjini.

🌍 Watalii wengi hutafuta huduma mtandaoni kabla ya kusafiri.πŸ’» Website nzuri huongeza uaminifu na kuonyesha tour packages...
20/05/2026

🌍 Watalii wengi hutafuta huduma mtandaoni kabla ya kusafiri.
πŸ’» Website nzuri huongeza uaminifu na kuonyesha tour packages zako saa 24.
πŸ“² Wateja wanaweza kuwasiliana nawe kirahisi kutoka sehemu yoyote duniani.
πŸš€ Usikubali kupitwa na washindani wenye uwepo mzuri mtandaoni.
✨ Ipeleke biashara yako ya utalii kiwango cha kimataifa kwa kuwa na website ya kisasa.
Wasiliana nasi leo kwa namba zetu hapo kwenye picha au fika ofisini kwetu Dodoma Tanzania.

Website huifanya biashara yako ionekane biashara kamili 🌍Wateja wanaweza kukuona muda wowote, popote walipo.Inaongeza bo...
19/05/2026

Website huifanya biashara yako ionekane biashara kamili 🌍
Wateja wanaweza kukuona muda wowote, popote walipo.
Inaongeza bookings na mawasiliano kwa urahisi πŸ“²
Inaonesha huduma zako za utalii kwa picha na video nzuri ✨
Wageni wa ndani na nje ya nchi wanaweza kukupata kirahisi.
Biashara yako hupata uaminifu mkubwa online πŸš€
Usibaki nyuma kwenye dunia ya kidigitali.
Karibu Swahili Software tukutengenezee website bora πŸ’»

16/05/2026

Hasara nyingi za biashara ndogo hazitokani na ukosefu wa wateja... bali kutokujua unapata faida kiasi gani. πŸ˜”
Bilahasara inakusaidia kujua kwa uhakika: mauzo yako ni kiasi gani, umetumia kiasi gani, na faida yako halisi ni kiasi gani β€” kila siku, moja kwa moja kutoka simu yako. πŸ“±πŸ’°
Usiendeshe biashara kwa kubahatisha. Pakua Bilahasara leo na uwe na uhakika wa kila pesa yako.
⬇️ Ni Kwa Tsh 2000 tu kwa mwezi ,Ipakue leo kutoka Play Store au Wasiliana nasi kwa 0718 660 882

Address

Nane Nane Bust Stand
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Software posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Swahili Software:

Shortcuts

Share