05/10/2026
Birthday shoot 🎂📸
Hii ni moja ya birthday sessions tuliyofanya hapa KP Studio.
Unakuja na idea yako, sisi tunakusaidia kuifanya ionekane kwenye picha k**a ulivyokuwa unawaza. 🔥
Birthday, personal shoot, family au content tupo tayari kwa session yako.
📍 KP Studio | Dodoma
📞 +255 69 296 3039