Masawika AI Lab

Masawika AI Lab Turning Data into Intelligent & Impactful Solutions

21/07/2026

🚨 FREE AI BOOK GIVEAWAY! πŸŽ“πŸ€–

πŸ“˜ MASTERING AI FOR ACADEMIC SUCCESS

🎁 Watu 1,000 wa kwanza** watapata kitabu hiki BURE!

Ili upate:
βœ… Follow ukurasa huu
βœ… Like post hii
βœ… Comment "NATAKA

Baada ya nafasi 1,000 kuisha:
πŸ“– Kitabu: TSH 3,000
πŸŽ“ Mentorship + WhatsApp Group: TSH 5,000

πŸ’³ Malipo (Voda Lipa Namba): 35059827
πŸ‘€ Jina: Habil Nyelanyela Masawika

πŸ“² WhatsApp: 0712 290 742

πŸ”— Link ya WhatsApp Group ipo kwenye Bio.

AcademicWriting Tanzania

"Ajiriwa unyanyasike?Jiajiri uchanganyiwe?Au kaa nyumbani upagawe? πŸ€”Hakuna njia isiyo na changamoto. Cha muhimu ni kufan...
16/07/2026

"Ajiriwa unyanyasike?
Jiajiri uchanganyiwe?
Au kaa nyumbani upagawe? πŸ€”
Hakuna njia isiyo na changamoto. Cha muhimu ni kufanya kazi kwa bidii, kusimama katika haki, na kumtumaini Mungu. πŸ™
'Lolote mkono wako upatalo kufanya, lifanye kwa nguvu zako zote.' β€” Mhubiri 9:10"

03/07/2026

πŸŽ“ New project drop β€” Causal ML for Tanzania education! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Prediction β‰  Causation.

I used Double Machine Learning (DML) + Instrumental Variables
to answer: does teacher quality CAUSE better CSEE results? πŸ“Š

Results:
β†’ +0.42pp CSEE gain per 1pp teacher quality increase βœ…
β†’ Biggest gains in remote regions (Katavi, Kigoma, Rukwa) πŸ—ΊοΈ
β†’ Instrument: distance from Dar es Salaam (F=24.7 βœ“)
β†’ Stable across 4 different ML model specs πŸ’ͺ

This is Causal AI β€” not just prediction, but evidence
for real policy decisions at Tanzania's Ministry of Education.

Full code + Live dashboard πŸ‘† link in bio


Python MasawikaAILab EastAfrica AI
Statistics DML Portfolio CSEE SDG4 DoubleML

28/06/2026

πŸŽ“ New Portfolio Project β€” Live on GitHub!

Forecasting Tanzania CSEE Pass Rates with Machine Learning

Built an end-to-end ML pipeline analyzing 5 years of Ministry
of Education data (BEST 2020–2024) across all 26 Tanzania regions.

Key highlights:
βœ… 12 ML models trained & compared
βœ… 130 panel observations (26 regions Γ— 5 years)
βœ… CSEE pass rate forecast to 2030 β†’ 94% baseline
βœ… Explainable AI: teacher quality is the #1 driver
βœ… Interactive Streamlit dashboard

πŸ”— GitHub: github.com/habilm-analytics/tanzania-best-ml-forecasting

Python
EastAfrica MasawikaAILab Portfolio ScikitLearn

28/06/2026

πŸ“’ HUDUMA ZA KITAALAMU ZA UTAFITI (RESEARCH CONSULTANCY)

Je, unahitaji msaada wa kitaalamu katika utafiti wako? Tunakupa huduma zenye ubora, usahihi na usiri wa taarifa.

βœ… Kuandika Research Proposal βœ… Kuandika Manuscripts za Journal βœ… Data Analysis (Python, SPSS, R & STATA) βœ… Literature Review βœ… Thesis & Dissertation Support βœ… Kutengeneza KoboToolbox na Google Forms βœ… Data Collection & Data Handling βœ… Data Cleaning, Management & Processing βœ… Survey & Questionnaire Design βœ… Editing, Proofreading & Formatting

🎯 Tunazingatia ubora, uhalisia wa kazi, na uwasilishaji kwa wakati.

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255 712 290 742 πŸ“§ Email: [email protected]

Wasiliana nasi leo, tukusaidie kubadilisha wazo lako kuwa utafiti wenye matokeo yenye athari.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masawika AI Lab posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share