08/02/2023
Moyo wangu umevunjika asubuhi ya leo baada ya taarifa ya kifo cha Babu Sikare my school mate pumzika kwa amani utabaki katika mioyo ya wengi poleni wote mlioguswa na msiba huu familia ya Sikare na marafiki zake wote najua uchungu mliobeba mioyoni mwenu, Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe ❤️