Bby cjey -top story online

Bby cjey -top story online Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bby cjey -top story online, Computers & Internet Website, Sharif Shamba, Dar es Salaam.

20/05/2017

Tabasamu la mnyonge
penzi la dhat
I hate mumy
maisha ya chuo
akil kichwa mwako
nitampata wap k**a yule
penz la jini
marafiki wanafik
tabasamu la fredy
maisha yangu
hivyo vyote ni vtabu ambavyo naitaji nyie wadau wangu mchague niaze na kipi au nimalizie simuliz ya binti mrembo vumilia majibu nitayapata kwenu maana niko kwa ajili yenu ingal nilipotea kwa muda mrefu sana ila ndo nimerudi hivyo kaa mkao wa kula maana chakula kimeshaiva

Simuliz: NITAMPATA WAPI K**A YULE MWANDISHI;CECILIA JOSEPH&BBY CJEYKILA SIKU YA JUMATANO &JUMAMOSNi similiz ya kusimumua...
21/02/2017

Simuliz: NITAMPATA WAPI K**A YULE
MWANDISHI;CECILIA JOSEPH&BBY CJEY
KILA SIKU YA JUMATANO &JUMAMOS
Ni similiz ya kusimumua na kuhelimisha pia kuburudisha jamii na watu wote xx tunaaza hiv

Kulikuwa na binti mmoja ambaye kila siku alikuwa akifikiria lin atapata mchumba au mpenz ambaye atakuwa naye kwenye maisha yake maana kila mwanaume aliyekutananye alikuwa anamudanganya hivyo akaona wanaume wote waongo akaamua kutulia na kuangalia maisha yake pia akaaza kusali na kumuomba mungu ampatie mwanaume wa ndoto yake alikuwa anapenda sana kukaa ndan pia akitoka anaenda kanisan kisali ndo ulikuwa ratiba yake ya kila siku

Kwel alikuwa binti mrembo sana wa sura,tabia,mwenendo,ata umbo pia kila mwanaume aliyemuona alimtaman alivyo kwan alikuwa akiwavutia wengi ndipo alipokaa chin nakutafakar na kugundua kuwa wanaume wanamtan bila kumpenda kwa halivyo nipo akawa ratiba yake ya kusali na kukaa ndan

Siku moja alikuwa akienda kanisan mnamo wa saa kumi jioni akiwa njiani akapita sehemu moja ambayo kulikuwa na uwanja mkubwa ambayo alikuta wavulana kaaza wakiwa wanafanya mazoezi basi alipopita wale vijana wakaaza kumrushia mpira na kusema tunaomba utupigie huyo mpira ila yule msuchana hakuwajibu na kuuwacha pale ule mpira na kuondoka ila walizid kipiga kelele kuwa niwape mpira ila kwa bahati alitokea kijana ambaye alisema mbona mnamsumbua dada wa watu yule dada alikuwa ameinamisha kichwa chini huku akiongopa yule kaka akasogea na kunishika mkono na kuniambia wasamahe bure sana tuende maana wasije wakakupiga na mpira basi yule kaka akanitoa pale na kunivusha pale uwanjan basi nilipofika sikuweza kumuangalia yule kaka usoni ila nilisema asante kwa msaada wako mungu akubariki yule kaka alishangaa kusikia sauti yangu na kuniambia kuwa dah ingali utaki ata kuniangalia ila sauti imenijulisha kuwa wewe ni binti mzur sawa asante nawe

Basi mm nikageuka na kuondoka ile naangalia mbele mara yule kaka akanitokea kwa mbele niliogopa na kificha macho kwa mkono ila yeye aliniuliza samaham unaitwa nan maana ata jina ujanitajia dah nilishangaa sana ila ikabidi kumuambia tuh mm ninaitwa lucy alifurahi sana asante tena sawa basi kagueka yy na kuondoka na mm nikaondoka zangu ila nikiwa njiana nikasikia sauti ikiniita lucy ....Lucy......Lucy ....lucy......Lucy ile nageuka kuangalia ninani sikuamin macho yangu maana nilikutana na kijana dah yuko vizur alikuwa anarangi nzur sana mrefu wastan,mwenye body nzur,pia huyo mwendo dah nilibaki nimepigwa na butwa sana ndipo naye alipoouna uso wangu pamoja na macho alipofika karibu akaniambia wewe .....Wwe.....Lucy .......Lucy akanishika maana nilikuwa nimepigwa na butwaa la atar
Lucy ;dah samahan maana sikujua k**a ni wewe
Kijana ;samahan maana milishindwa kuomba namba ya simu k**a utakuwa nayo
Lucy ;namba tuh mm nitakupatia sawa xx utaandika wapi
kijana ;hapo sasa ila si bora unitajie

Itaendelea
Usikose kufatilia l simuliz

Haya ni maisha tuh usije mdharau mtu kwaajili leo maskin ila tambua kuwa mungu amtupi mjaa wakeNimejifunza mengi sana ka...
29/01/2017

Haya ni maisha tuh usije mdharau mtu kwaajili leo maskin ila tambua kuwa mungu amtupi mjaa wake

Nimejifunza mengi sana katika maisha,mapenz niishi niwezavyo mm na mungu katika maisha yangu naampenda sana mtu anayeniheshimu mm nami nitamheshimu daima

Nampenda mtu ata k**a anakitu nitajali uwepo wake kwangu maana mapenzi sio pesa wala mali mapenzi ni upendo wa dhati utokao moyon ila si pesa namthamin mtu ambaye ana maana najua mungu ipo siku atamuhinua na kuwa mtu furan kwan hel maskin kuliko tajil maana maskin atakupenda na kukujal ila tajil atakuwa bize kutafuta pesa ila sio kutafuta upendo wa dhat
Chunga sana maana ukipata anayekupenda nawe mpende maana ujui umepangiwa nn na mungu mapenzi sio pesa mapenz ni upendo wa dhati utokayo moyon

Address

Sharif Shamba
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bby cjey -top story online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share