Wakali Tech-Lab

Wakali Tech-Lab Its just a group of graduated Engineers with Computer and electronics skills(mainly Technology)...

Be yoh self and believe in You....  Stop talkin about others and focus on yah self success by trying to be with right mi...
31/12/2017

Be yoh self and believe in You.... Stop talkin about others and focus on yah self success by trying to be with right minded people who pushes,shapes and motivate yah to be a better version of yourself ... New Year To All #2018

17/12/2017
30/03/2017

**TAARIFA YA MSIBA**
A'Aleik*m ! Napenda kukutaarifu kuwa ndugu yetu *Mohamed Amiry Au Muddy Bonge* amefiwa na mama yake mzazi 😭😪😥 ucku wa kuamkia leo mida ya saa nane tar 30 march,mazishi ni leo saa k*mi jioni kibaha msangani,msiba upo hapo nyumbani kwao Tanita Kibaha nyuma ya shule ya msingi kibaha tanita... Tunaomba k**a unanafasi ufike ili kufanikisha jambo hili na k*m support na k*mfariji ndugu yetu katika kipindi hichi kigumu.... Innalillahi waina ilayhi raji'un
إنالله وإنا إليه را جعون

Kuhusu Maswala ya michango michango nazani utaratibu huo utapatika soon tuki meet na baadhi ya watu watakaokuwa wanaelekea msibani muda si mrefu saa 4 nne.... call 0652831489 and +255 65 223 4550 for more info !!

**TAARIFA YA MSIBA**A'Aleik*m ! Napenda kukutaarifu kuwa ndugu yetu *Mohamed Amiry Au Muddy Bonge*  amefiwa na mama yake...
30/03/2017

**TAARIFA YA MSIBA**
A'Aleik*m ! Napenda kukutaarifu kuwa ndugu yetu *Mohamed Amiry Au Muddy Bonge* amefiwa na mama yake mzazi 😭😪😥 ucku wa kuamkia leo mida ya saa nane tar 30 march,mazishi ni leo saa k*mi jioni kibaha msangani,msiba upo hapo nyumbani kwao Tanita Kibaha nyuma ya shule ya msingi kibaha tanita... Tunaomba k**a unanafasi ufike ili kufanikisha jambo hili na k*m support na k*mfariji ndugu yetu katika kipindi hichi kigumu.... Innalillahi waina ilayhi raji'un
إنالله وإنا إليه را جعون

Kuhusu Maswala ya michango michango nazani utaratibu huo utapatika soon tuki meet na baadhi ya watu watakaokuwa wanaelekea msibani muda si mrefu saa 4 nne.... call 0652831489 and +255 65 223 4550 for more info !!

*NGUVU KUBWA YA MAFANIKIO INAPATIKANA KWA KUCHUKUA HATUA.*✨ Mafanikio Yoyote Unayoyatafuta yapo Kwenye Kuanza. K**a kuna...
28/02/2017

*NGUVU KUBWA YA MAFANIKIO INAPATIKANA KWA KUCHUKUA HATUA.*

✨ Mafanikio Yoyote Unayoyatafuta yapo Kwenye Kuanza. K**a kuna jambo unataka kulifanikisha ni lazima ulianze na sio kulisubiria. Nguvu kubwa ya kuendelea na kusonga mbele inapatikana kwa kuanza. Unapokuwa unaanza jambo, sio tu unakuwa na nguvu ya kuweza kulifanya bali nguvu hiyo inakuwa inaongozeka siku hadi.

✨ Moja kati ya wanasayansi waliopata kuwepo katika hii dunia, Isack Newton aliwahi kulieleza hili vizuri katika sheria yake ya mwendo kwamba kitu chochote kikiwa kwenye mwendo kitaendelea kuwa kwenye mwendo huo na kitu chochote ambacho kipo katika hali ya kutulia au utulivu, kitaendelea kutulia siku zote mpaka itokee nguvu nje ya hapo ya kubadili hali hizo.

✨ Tafsiri au maana yake ni nini hapa? Ni kwamba k**a utaamua kuchukua hatua juu ya maisha yako, utazidi kupata nguvu ya kukufanikisha kwenye mafanikio unayoyahitaji. Chochote unachotaka kukifanya kwenye maisha yako hata kiwe kikubwa vipi, siri kubwa ya kukifanikisha ipo kwenye kuanza.

✨ Mafanikio yote makubwa chini ya jua yalianza kwa kufanya kwanza na sio kusubiri. Kumbuka . ”DO THE THINGS YOU WILL HAVE THE POWER TO ACCOMPLISH IT.” K**a kuna jambo unataka kulifanya, wewe lifanye tu acha kujiandaa sana, kwani nguvu ya kufanikisha jambo hilo itapatikana wakati unafanya na sio kusubiri. Hivi ndivyo mafanikio makubwa yanavyopatikana kwa kuchukua hatua za utekelezaji.

Chukua hatua na kila la kheri,

Njema

A crow lived in the forest and was absolutely satisfied in life. But one day he saw a swan. “This swan is so white,” he ...
24/02/2017

A crow lived in the forest and was absolutely satisfied in life. But one day he saw a swan. “This swan is so white,” he thought, “and I am so black. This swan must be the happiest bird in the world.”

He expressed his thoughts to the swan.

“Actually,” the swan replied, “I was feeling that I was the happiest bird around until I saw a parrot, which has two colors. I now think the parrot is the happiest bird in creation.”

The crow then approached the parrot.

The parrot explained, “I lived a very happy life until I saw a peacock. I have only two colors, but the peacock has multiple colors.”

The crow then visited a peacock in the zoo and saw that hundreds of people had gathered to see him. After the people had left, the crow approached the peacock.

“Dear peacock,” the crow said, “you are so beautiful. Every day thousands of people come to see you. When people see me, they immediately shoo me away. I think you are the happiest bird on the planet.”

The peacock replied, “I always thought that I was the most beautiful and happy bird on the planet. But because of my beauty, I am entrapped in this zoo. I have examined the zoo very carefully, and I have realized that the crow is the only bird not kept in a cage. So for past few days I have been thinking that if I were a crow, I could happily roam everywhere.”

That’s our problem too. We make unnecessary comparison with others and become sad. We don’t value what God has given us.

This only lead to the vicious cycle of unhappiness.

Learn to be happy in what you have instead of looking at what you don’t have. There will always be someone who will have more or less than you have.

Someone who is satisfied with what he/she has, is the happiest person in the world.

Always be proud to be yourself. and Have a nice DaY

 ....
17/01/2017

....

Toa order yakooo ya vifaa na utapata easily......................
31/10/2014

Toa order yakooo ya vifaa na utapata easily......................

16/10/2014

Guide to Recover datas from a corrupted Mac OS X HFS Volume, Partition

16/10/2014

Download Mach Kernel for AMD FX Processors 10.9.4 Mavericks Version RC3 uploaded by Niresh - Hackintosh Zone

Address

Sinza Madukani
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakali Tech-Lab posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakali Tech-Lab:

Share