DUKA popote TZ

DUKA popote TZ Uza na nunua chochote hapa popote ulipo....

01/01/2018
Mi bichwa k**a sindano ukiomba baba ako afe urisi nyumba baba nae anaomba ufe chumba apangishe....
24/12/2017

Mi bichwa k**a sindano ukiomba baba ako afe urisi nyumba baba nae anaomba ufe chumba apangishe....

Offer ya sikukuu za bei poa
23/12/2017

Offer ya sikukuu za bei poa

Offer ya sikukuu iphone za kutosha bei poaaaaaa
23/12/2017

Offer ya sikukuu iphone za kutosha bei poaaaaaa

21/12/2017

Hello watu wanguvu baraka ziwe juu yenu.

Quality bei poa kabisa pintech ya kijanja weka offer yako hapa
16/12/2017

Quality bei poa kabisa pintech ya kijanja weka offer yako hapa

Hello...
03/09/2017

Hello...

08/10/2016

TABIA USIZOZIJUA ZA WATU WAPOLE NA WENYE AIBU 1. Wanafikiri sana kabla ya kutenda. Sio wakurupukaji 2. Ni rahisi kuwaamini 3. Wako tayari kutoa msaada 4. Niwazuri kuwa nao k**a marafiki 5. Ni wasikilizaji wazuri 6. Wanazielewa hisia za wengine 7. Wanaweza kudumisha mahusiano yao na wengine. Ni rahisi kukaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu 8. Ni wagunduzi

08/10/2016

HII HAIRUHUSIWI. MWIKO KABISA Mambo yanaweza kukuwia magumu na yenye kuumiza sana maishani. Kulia unaruhusiwa, kupiga kelele sawa, yamkini waweza kujikuta unalaumu kila mtu na hata kujilaumu wewe mwenyewe, waweza kujikuta unawatukana wanaokuzunguka wote na hata kujitukana wewe mwenyewe. Unaweza wakati mwingine kulaani kila mazingira na hata kujilaani wewe mwenyewe. Haya yote tunaweza kuyachukulia na kukusamehe lakini mapito haya yasikufanye ukate tamaa. KUKATA TAMAA NI MWIKO -

08/10/2016

INAUMA NA KUSIKITISHA MOYO Najua wako ambao wanaisoma na wanaona k**a imeandikwa kuwahusu wao. Unajua inauma sana na inasikitisha sana moyo pale ambapo unajitahidi kujiweka k**a mwanamke mzuri ukitegemea mume wako atavutiwa na wewe au hata kutamani kushiriki tendo la ndoa nawewe lakini chakushangaza kila unavyojisogeza close naye ndio kabisaaa anakuwa k**a yuko na mjomba wake vile. Husikii neno la kukuonyesha kahamasika wala tendo, huoni jicho lake likikuangalia wala mkono wake kujaribu kukugusa. Nakwambia ukiwa kwenye hali hii, hata wanaume wote barabarani wakutake na kukusifia kuwa wewe mzuri bado ndani yako unajisikia down sanaaa. Men, lets not kill the chemistry with our wives. Love is there to enjoy

12/08/2014

Life is all about choices kile unachochagua kwenye maisha ndicho kitakachokua.

05/08/2014

No AFRICAN.
No EUROPEAN.
No INDIAN.
No ARABIAN.
TOGETHER IS ONE WE ARE A SAME PEOPLE DIFFERENT COLORS.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0625862690

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DUKA popote TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share