Blaq & Friends Internet Cafe

Blaq & Friends Internet Cafe Deals with:
1. Internet
2. Printing Documents & Pictures
3. Scanning Documents & Pictures
4. Photocopy
5. Typing
6.windows and software installation

04/04/2016

Tunawatakia jioni njema ndugu, jamaa na marafiki

01/04/2016

HUDUMA NZURI NDIO FAHARI YA OFISI YETU. KARIBUNI WOTE

01/04/2016

TUNAJIVUNIA KUWA NAMBA MOJA KATIKA KUTOA HUDUMA YA KIMTANDAO TABATA NZIMA..

18/02/2016

JE, UMESHAYAONA MATOKEO YAKO AU MWANAO YA KIDATO CHA NNE??? USIANGAIKE KWENYE INTERNET ZA SERVER NOT FOUND NJOO SASA Blaq & Friends Internet Cafe Tabata Kimanga. Unagusa link na kuyaona papo hapo... Karibuni

Dealing with Hardware troubleshooting...
13/04/2015

Dealing with Hardware troubleshooting...

Blaq & ..................................???????
06/04/2015

Blaq & ..................................???????

06/04/2015
Tunawashukuru wateja wetu wote waliofika siku ya Pasaka na Hongera kwa wote ambao wamejishindia zawadi zao toka Blaq & F...
06/04/2015

Tunawashukuru wateja wetu wote waliofika siku ya Pasaka na Hongera kwa wote ambao wamejishindia zawadi zao toka Blaq & Friends Internet Cafe... Tunawapenda, Tunawajali na Tunatambua Thamani yenu k**a kiungo cha Ofisi...

Happy Easter to you & your family_Team B'n'F
04/04/2015

Happy Easter to you & your family_Team B'n'F

Easter Greetings from Team B'n'F
04/04/2015

Easter Greetings from Team B'n'F

KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA SIKUKUU YA PASAKA... TUNAWAPA OFA WATEJA WETU KWA ATAKAYEPATA HUDUMA K**A IFUATAVYO:-1....
03/04/2015

KATIKA KIPINDI HIKI CHA MSIMU WA SIKUKUU YA PASAKA... TUNAWAPA OFA WATEJA WETU KWA ATAKAYEPATA HUDUMA K**A IFUATAVYO:-
1. ATAKAYELIPA SAA MOJA ATAPATA DK 20
NYONGEZA.
2.ATAKAYELIPA SAA MOJA NA NUSU ATAPATA NUSU SAA BURE
3.ATAKAYEPRINT KUANZIA KURASA 10 ATAPATA PUNGUZO LA 10%

MWISHO JUMAPILI YA PASAKA SAA NNE USIKU........ NA KUTAKUWA NA ZAWADI KWA WATEJA WETU WA MUDA MREFU.....

Team_Blaq and Friends Inawatakia Kheri Ya siku kuu ya Pasaka

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255682401707

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Blaq & Friends Internet Cafe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Blaq & Friends Internet Cafe:

Share