14/06/2026
π VIDVIE XL-SP929 KARAOKE MONSTER π
Mfalme mkuu wa spika zote! Nguvu ya kutisha ya 600W, betri ya dharura, na spika 6 za ndani zinazozalisha sauti ya Club!
π₯ Sauti: 600W Output (Muziki mzito sana wenye subwoofer ya hatari)
π Betri ya Ajabu: 45,000mAh (Inapiga muziki masaa 12+ | Inachaji vifaa vingine k**a Power Station)
π Urahisi: Inasuport PD 60W Fast Charging (Inajaa haraka sana)
π€ Vifaa: Maikrofoni 2 za Wireless za kifahari + Remote Control ποΈ
π¦ Maji: IPX6 Waterproof (Haiogopi mvua kubwa ya viwanjani)
πΆ Bluetooth: V5.3 (Toleo la kisasa kabisa lisilochelewesha sauti)
Hii ni maalum kwa matamasha, kumbi kubwa za sherehe, na kambi za kifahari (VIP)!