Nirushie

Nirushie Uza na nunua bidhaa nchini Tanzania Uza na nunua bidhaa na huduma katika soko linalokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania.

Kwa kutumia Nirushie App unaweza kufanya vifuatavyo:
★ Kwa urahisi tafuta na angalia bidhaa zilizopo.
★ Angalia bidhaa zilizopo karibu na wewe.
★ Tuma meseji za BURE kwenda kwa wauzaji au wanunuzi ukiwa ndani ya App..
★ Ongeza faida zaidi, kwa kuweka mahali bidhaa inapopatikana, ili watu walio karibu wakuone kirahisi.
★ Pata taarifa pindi watu wanapoweka maoni kwenye bidhaa zako.
★ Tengeneza listi ya bidhaa uzipendazo.
★ Tengeneza profaili nzuri inayovutia kuendana na wewe au kampuni yako.
★ Andika maoni kwenye bidhaa zilizokuvutia. Imarisha biashara yako zaidi kupitia Nirushie App, INSTALL SASA ugundue thamani halisi ya biashara yako.

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nirushie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nirushie:

Shortcuts

Share