Scorpion Computers LAB & Videos Library - Maramba Tanga

Scorpion Computers LAB & Videos Library - Maramba Tanga Karibuni sana kwenye Ofisi yetu wakazi wa Maramba na vitongoji vyake mpate huduma bora na nzuri bila kusahau tunatoa ushauri bure wa matumizi ya PC & simu.

Ahsanteni sana wadau wangu kwa sapoti yenu kwangu hakika sina cha kuwalipa ila zaidi ni mimi kuwaletea kazi nzuri na amb...
14/12/2018

Ahsanteni sana wadau wangu kwa sapoti yenu kwangu hakika sina cha kuwalipa ila zaidi ni mimi kuwaletea kazi nzuri na ambazo hazichoshi kutazama...
basi zawadi yenu hii hapa picha wanaita GENERAL YANG (mzimu wa goguryeo) fuata link hizi ukaitazame mwanzo mwisho kupitia YOUTUBE
0675729356
kwa maoni, ushauri, na makila kitu nichek kupitia namba hiyo
SCORPION PRODUCTIONS
"WE THE BEST"
GENERAL YANG ep 01
https://www.youtube.com/watch?v=paagbUVpivg
GENERAL YANG ep 02
https://www.youtube.com/watch?v=TWRYg0kAcAw
GENERAL YANG ep 03
https://www.youtube.com/watch?v=wqX9LAXfLiA
GENERAL YANG ep 04
https://www.youtube.com/watch?v=rKrPxry8Ao8
GENERAL YANG ep 05
https://www.youtube.com/watch?v=5KYTR1i2vB8
GENERAL YANG ep 06 FINAL (MWISHO)
https://www.youtube.com/watch?v=I4OxoScezm4

TATIZO LA LINK KUSUMBUA TAYARI TUMESHALISHUGHULIKIA PIA TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA, MPANGO MZIMA HUU HAPAA...
31/08/2018

TATIZO LA LINK KUSUMBUA TAYARI TUMESHALISHUGHULIKIA PIA TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA, MPANGO MZIMA HUU HAPAAAA...
Hayaaa nimekuwekea link hizi hapa kwa wale ambao bado hamjaiona BARCELONA A LOVE UNTOLD..
Hizi hapa episodes 3 fuata ama click kwenye hizo link..
https://youtu.be/ASYe58TwY8k (EP 01)
https://youtu.be/p6tD8_oESgI (EP 02)
https://youtu.be/-IJS0Un88ng (EP 03)
hizi ni links mpya baaya ya zile za mwanzo kusumbua pia # # # tunaomba radhi kwa tatizo lililojitokeza # # #.

RON DJ CHATA YA YOMBO 0675 729 356 (CALL, SMS & WSP) https://web.facebook.com/ron.raider1 (FACEBOOK)

03/11/2017

ZOTE KALI ZA MADJ WA TZ UTAZIPATA HAPA, +255 TZ KWANZA.





04/10/2017

LISIKUPITE HILI MDAU WETU......πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ

Karibuni sana kwenye Ofisi yetu wakazi wa Maramba na vitongoji vyake mpate huduma bora na nzuri bila kusahau tunatoa ushauri bure wa matumizi ya PC & simu.

04/10/2017

https://www.facebook.com/scorpionlabmaramba/

FANYA KUIFUNGUA LINK HIYO HAPO JUU, KISHA ILI KUPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSU HUDUMA ZETU NA UWE MMOJA WA WADAU WETU WA NGUVU, ITAKUWA POA ZAIDI K**A UTA ....YEEEEES!



the best library in Maramba

JIANDAE KWA KITU KIPYA NA HUDUMA MPYA...

Karibuni sana kwenye Ofisi yetu wakazi wa Maramba na vitongoji vyake mpate huduma bora na nzuri bila kusahau tunatoa ushauri bure wa matumizi ya PC & simu.

27/08/2017

Ahsanteni wadau wetu kwa uvumilivu, ofisi imefunguliwa na kazi zinaendelea, kwa huduma safi na bora fika SCORPION LAB..

wale wapenzi wa TV GAMES hususani za PLAYSTATION/PS kaeni mkao wa kula kwani tunajiandaa kuwasogezea huduma hii karibu zaidi..

GAMES zote kali na za kijanja zaidi utazipata hapa tukianza na hii...

PES 2018..




(SGZ)

Karibuni kwenye ofisi zetu kwa huduma bora na safi..Model: Rashid Maulid ChillaDesigner: Scorpion Lab Maramba
28/07/2017

Karibuni kwenye ofisi zetu kwa huduma bora na safi..
Model: Rashid Maulid Chilla
Designer: Scorpion Lab Maramba


27/07/2017

muwe na usiku mwema wadau wetu..

 Season pendwa ya   hatimaye imefikia ukingoni, Kumbuka utaipata   kutoka kwenye ofisi bora za  .Shukrani za pekee ziwae...
22/07/2017


Season pendwa ya hatimaye imefikia ukingoni, Kumbuka utaipata kutoka kwenye ofisi bora za .
Shukrani za pekee ziwaendee wale wote tuliokuwa pamoja kuifuatilia season hii.
Wale ambao bado fanya haraka kuifuatilia, usisahau ni pekee utaipata hii .



Tunaitambulisha rasmi huduma yetu mpya ya kuedit picha:Model: LeilaDesinger: Scorpion Lab/Maramba Lab
18/06/2017

Tunaitambulisha rasmi huduma yetu mpya ya kuedit picha:
Model: Leila
Desinger: Scorpion Lab/Maramba Lab



  ....Halow! niaje nivp wadau wetu pamoja na wakazi wote wa Maramba, ni walewale   wa   kali za   bila kusahau za   ni k...
06/03/2017

....
Halow! niaje nivp wadau wetu pamoja na wakazi wote wa Maramba, ni walewale wa kali za bila kusahau za ni kutoka katikati ya wa wakali tunakuletea huduma mpya ya kuprint TSHIRT, weka jina lako, namba ama mchoro (logo) kwenye tshirt yako...
endelea kufurahia huduma zetu, kwa wale wapenda SEASON na MOVIES mzigo mpya ndio unapikwa kaeni mkao wa kula kwa kupata vigongo vikali na vipya vipya vya 2017.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Scorpion Computers LAB & Videos Library - Maramba Tanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share