Jaysmart Tanzania

Jaysmart Tanzania We are ICT Company and Official Vodacom Business Partner on IoT & Digital Platforms. We specialize in providing digital solutions
Phone+255222700001

Daka mchongo wa kuwa wakala, Wahudumie wateja wako kirahisi kupitia simu yako, Wasajilie unlimited internet kwa kutumia ...
13/11/2024

Daka mchongo wa kuwa wakala, Wahudumie wateja wako kirahisi kupitia simu yako, Wasajilie unlimited internet kwa kutumia router zako unazouza, unganishwa wateja na fursa mbali mbali za biashara toka Vodacom Business.

Tupo Mwenge Mataa,Dar es Salaam fursa ni kwa mkoa wowote tupigie 0745015421 au 0222700001

Je wajua Vodacom wanatoa Router Bure kwa wafanyabiashara ili kukuza biashara zao wakiwa ndani ya kasi ya 5G, na bila kik...
21/10/2024

Je wajua Vodacom wanatoa Router Bure kwa wafanyabiashara ili kukuza biashara zao wakiwa ndani ya kasi ya 5G, na bila kikomo?

Ipo hivi, tunatoa router yenye kasi ya 5G ambayo kwa mwezi mzima unatumia bila kikomo yani wewe ni kuserereka tu mwanzo mwisho na bila kupimiwa!

Utaratibu wa kujipatia router hizi upo hivi!
1. Unatakiwa kuwa na kitambulisho cha NIDA na Tin Number yako binafsi k**a unahitaji kwa matumizi ya nyumbani, k**a unaweka kwenye Biashara basi ni Tin Number ya Biashara na Leseni ya Biashara

2. Nitakukabidhi mkataba ambao utaujaza ambao wenyewe unafanya kazi kwa miaka 2

3. Kwa kuwa huduma hii inafanyiwa malipo mwisho wa mwezi (postpaid) utatakiwa kulipa Security Deposit ambayo hiyo inaenda kuwa pesa ya kukulinda endapo ikitokea kuna mwezi umepita na ukashindwa kulipia basi pesa ya Secuty Deposit itatumika kufidia yale matumizi ya mwezi uliyoshindwa kulipia. Gharama ya security deposity ni Mara mbili ya gharama ya malipo ya mwezi. mfano 30Mbps Security ni 240,000 na kila mwezi ni 120,000

Ukivikamilisha hivyo tu, basi unajipatia intaneti ya mwezi mzima bila kikomo, kazi yako ni kufanya malipo mwisho wa mwezi tu.

Kwa mawasiliano zaidi;
Tuwasiliane:
Tupo Mwenge, Jirani na Kituo cha Daladala cha Kwenda Tegeta
0745015421
[email protected]

Mpendwa Mteja karibu Unipromotech wauzaji wa Printer, Photocopier, Router, Money Counter, Safe box nkSisi pia ni Washiri...
18/10/2024

Mpendwa Mteja karibu Unipromotech wauzaji wa Printer, Photocopier, Router, Money Counter, Safe box nk

Sisi pia ni Washirika Rasmi wa Biashara wa Vodacom, tupo kukusaidia kwa huduma zifuatazo;
1. Vifurushi vya Simu/Data
2. Internet Bila kikomo(FWA 5G Shared Hapa unaweza kupata router kwa mkataba, ukanunua au ukaunganishwa kwa router yako malipo ya mwezi yanaanzia 120,000 30Mbps)
3. Cloud na Hosting
4. Dedicated Internet (Kupitia Microwave au Fiber)
5. Akaunti ya Biashara ya M-Pesa (B2C & C2B)
Tupigie 0745015421 au 022 270 0001

Weekend ndiyo hii sasa mwendo wa kuupa mwili pole ukiwa na Unlimited Internet ya Vodacom. Agiza router leo ukifikie hapo...
04/10/2024

Weekend ndiyo hii sasa mwendo wa kuupa mwili pole ukiwa na Unlimited Internet ya Vodacom. Agiza router leo ukifikie hapohapo ulipo. Tupigie 0745015421

Unahitaji router ya Vodacom yenye kasi ya 5G ambayo unapata intaneti bila kikomo ( Unlimited Internet ) mwezi mzima? Ten...
03/10/2024

Unahitaji router ya Vodacom yenye kasi ya 5G ambayo unapata intaneti bila kikomo ( Unlimited Internet ) mwezi mzima? Tena hapo router na kila kitu unapata bure bila kulipia chochote, yani unaletewa router na kila kitu bure kabisa.Karibu

Ipo hivi, tunatoa router yenye kasi ya 5G ambayo kwa mwezi mzima unatumia bila kikomo yani wewe ni kuserereka tu mwanzo mwisho na bila kupimiwa!

Utaratibu wa kujipatia router hizi upo hivi!
1. Unatakiwa kuwa na kitambulisho cha NIDA na Tin Number yako binafsi k**a unahitaji kwa matumizi ya nyumbani, k**a unaweka kwenye Biashara basi ni Tin Number ya Biashara na Leseni ya Biashara

2. Nitakukabidhi mkataba ambao utaujaza ambao wenyewe unafanya kazi kwa miaka 2

3. Kwa kuwa huduma hii inafanyiwa malipo mwisho wa mwezi (postpaid) utatakiwa kulipa Security Deposit ambayo hiyo inaenda kuwa pesa ya kukulinda endapo ikitokea kuna mwezi umepita na ukashindwa kulipia basi pesa ya Secuty Deposit itatumika kufidia yale matumizi ya mwezi uliyoshindwa kulipia. Gharama ya security deposity ni Mara mbili ya gharama ya malipo ya mwezi

Ukivikamilisha hivyo tu, basi unajipatia intaneti ya mwezi mzima bila kikomo, kazi yako ni kufanya malipo mwisho wa mwezi tu.

Kwa mawasiliano zaidi;
Tuwasiliane:
Tupo Mwenge, Jirani na Kituo cha Daladala cha Kwenda Tegeta
0745015421
[email protected]

Ukiwa na router yako usiwaze, sajili laini ya vodacom ya kukaa kwenye router kisha tupigie 0745015421 tukuunganishe na u...
03/10/2024

Ukiwa na router yako usiwaze, sajili laini ya vodacom ya kukaa kwenye router kisha tupigie 0745015421 tukuunganishe na unlimited au tembelea ofisini kwetu Mwenge jirani na Mataa, barabara ya kwenda tegeta

Agiza router leo iwe kwa mkataba au kwa kununua au kuunganishwa kwa router yako, huduma ya unlimited inapatikana popote ...
02/10/2024

Agiza router leo iwe kwa mkataba au kwa kununua au kuunganishwa kwa router yako, huduma ya unlimited inapatikana popote ilipo vodacom, kujua speed ya eneo lako andika fast.com kwenye browser yako ukiwa na lain ya vodacom kisha tupigie 0745015421 tushauriane huduma inayokufaa

Atouch Tablet🔥 📌Atouch tablet SE MAX 💰380,000/= Toleo jipya  📍16 ram Gb 512 storage 📍Double lineFree Delivery hadi mkoan...
01/10/2024

Atouch Tablet🔥
📌Atouch tablet SE MAX
💰380,000/=
Toleo jipya 📍16 ram Gb 512 storage 📍Double line
Free Delivery hadi mkoani
Tupo Mwenge Jirani na kituo cha daladala cha kwenda Tegeta
Tupigie 0745015411

K**a wewe ni mteja wetu wa mara ya kwanza, ukijiunga na Intaneti ya Ofisi utalipiwa bili yako ya kwanza na kushinda zawa...
29/09/2024

K**a wewe ni mteja wetu wa mara ya kwanza, ukijiunga na Intaneti ya Ofisi utalipiwa bili yako ya kwanza na kushinda zawadi nyingine kibao. Tupigie 0745015421

Address

Mwenge, Bagamoyo Road Near Tegeta Bus Station, 1st Floor Mpembeni House
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 09:00 - 17:30
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 10:00 - 16:00

Telephone

0222850343

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jaysmart Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jaysmart Tanzania:

Share