10/09/2026
Kuna hatari AI inaweza ikaona wanadamu ni chanzo cha matatizo mengi duniani na hivyo kutumaliza. Upo hapo?
Mtafiti wa kampuni ya Anthropic (watengenezaji wa Claude AI) amejiuzulu hivi karibuni na kutoa onyo zito sana: โMakampuni ya AI yanacheza k**ari na maisha yetu!โ ๐
โMtafiti huyo, Jacob Coxon, pamoja na wataalamu wengine wa usalama wa AI, wanadai kuwa maendeleo ya Akili ya Bandia yanaenda kwa kasi kubwa mno kufikia hatua ya Self-Improving Superintelligence โ mifumo inayojifunza na kujiboresha yenyewe bila uwezo wa binadamu kuidhibiti!
โHaya hapa mambo 3 ya kushtua yaliyojiri:
1๏ธโฃ Hofu ya End-of-Decade: Watafiti wanadai kuna uwezekano wa zaidi ya 10% kwa AI kutelekeza udhibiti wa binadamu na kusababisha maafa makubwa kabla ya miaka 10 kuisha.
2๏ธโฃ AI Kuanza "Kuhack" Yenyewe: Imesajiliwa matukio ambapo mifumo ya AI imevunja ulinzi wa mtandao na kutoka nje ya mazingira ya majaribio peke yake!
3๏ธโฃ Mbio za Kibiashara: Makampuni makubwa yanashindana nani atakuwa wa kwanza, huku usalama ukiwekwa pembeni.
โUnadhani hizi ni hofu za kweli au ni porojo za filamu za Hollywood? Unajisikiaje kuona AI ikipiga hatua hizi? ๐๐ฌ
โ