15/09/2026
JEE, UNATAFUTA SAUTI BORA NA SAFI KWA AJILI YA PODCAST, LIVE STREAM, AU KUREKODI NYIMBO ZAKO?
Acha kuteseka! Pata home studio set itakayokupa ubora wa sauti wa kistudio!
Seti hii inakuja na:
V8S Sound Card
BM-800 Microphone
Microphone Stand (Kishikio cha Maikrofoni)
Microphone Cover (Sponji la Maikrofoni)
Pop Filter
Waya (Cables) za kuunganisha kwenye simu na kompyuta
KWANINI UCHAGUE SETI HII?
Ni rahisi sana kutumia (Plug & Play).
V8S Sound Card ina betri ndani — inafanya kazi sehemu yoyote hata bila umeme!
Inakuwezesha kurusha Live Stream kwenye mitandao yote ya kijamii (Facebook, YouTube, Instagram, TikTok, n.k.).
Inarekodi muziki, matangazo, na vipindi kwa ubora wa juu.
Inabebeka kwa urahisi mahali popote unapokwenda.
Bei ya kawaida ya seti hii ni shilingi 200,000, ila leo utaipata kwa punguzo la shilingi 150,000 tu!
Okoa shilingi 50,000
Bei hii ni ya siku saba tu, baada ya siku saba utanunua kwa shilingi 200,000.
Tunapatikana Dar es Salaam, Kigamboni Vijibweni (jirani na Hospitali ya Kisiwani). Tunafanya
fans africhina online shop Bongochina online store