TTCL Corporation

TTCL Corporation Welcome to the official page of TTCL Corporation! While we keep you updated, we are at your

The largest and leading fixed line telecommunications company in Tanzania.Currently provides voice and data communication services, to business and residential customers in Tanzania. The Company also provides network services to other licensed telecom operators.

08/08/2026

CloudComputing




Sasa unaweza kununua vocha ya TTCL kwa urahisi kupitia CRDB SimBanking App. Fuata hatua chache tu:1️⃣ Pandisha juu2️⃣ Ch...
08/08/2026

Sasa unaweza kununua vocha ya TTCL kwa urahisi kupitia CRDB SimBanking App.

Fuata hatua chache tu:
1️⃣ Pandisha juu
2️⃣ Chagua Muda wa Maongezi
3️⃣ Weka namba ya simu na kiasi
4️⃣ Thibitisha malipo
Rahisi, haraka na salama! 🔥

Tunawashukuru sana wateja wetu wote kwa kutembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya Nanenane 2026Uwepo wenu na ushirikia...
08/08/2026

Tunawashukuru sana wateja wetu wote kwa kutembelea Banda la TTCL katika Maonesho ya Nanenane 2026
Uwepo wenu na ushirikiano wenu ni sehemu muhimu ya mafanikio yetu. Asanteni kwa kuwa nasi! 🙏




JINSI YA KUJIUNGAWasha WiFi, Chagua TTCLMteja mpya• Chagua kifurushi unachotaka• Jisajili, weka namba yako ya simu na ny...
08/08/2026

JINSI YA KUJIUNGA
Washa WiFi, Chagua TTCL
Mteja mpya
• Chagua kifurushi unachotaka
• Jisajili, weka namba yako ya simu na nywila (Tarakimu 4)
• Tengeneza namba ya malipo
• Fanya Malipo
• Furahia huduma
Mteja aliyesajili
• Bonyeza kitufe cha “Log in”
• Ingiza namba ya simu na Nywila yako (Password)
• Tengeneza namba ya malipo
• Fanya Malipo
• Furahia huduma

Heri ya Sikukuu ya Wakulima Tunawatakia sikukuu njema yenye furaha, mafanikio na baraka tele.
08/08/2026

Heri ya Sikukuu ya Wakulima
Tunawatakia sikukuu njema yenye furaha, mafanikio na baraka tele.




Tunakutakia siku yenye furaha, mafanikio na mawasiliano bora. Asante kwa kuendelea kutuamini. ✨TTCL — Tuko Pamoja, Kila ...
08/08/2026

Tunakutakia siku yenye furaha, mafanikio na mawasiliano bora. Asante kwa kuendelea kutuamini. ✨
TTCL — Tuko Pamoja, Kila Hatua.


08/08/2026

Malipo kwa Mkupuo na T-Pesa!

T-Pesa — Nafuu na Salama!

4G Wingle Modem kwa 68,000/= tu!Internet ya 4G | Wi-Fi hadi watumiaji 10
07/08/2026

4G Wingle Modem kwa 68,000/= tu!
Internet ya 4G | Wi-Fi hadi watumiaji 10





🔥 Nanenane Ofa 2026 — Punguzo la Kibabe! 🔥Pata TCL 4G CPE kwa Tsh 110,000/= tu badala ya 150,000/=! 😍Unganisha vifaa had...
07/08/2026

🔥 Nanenane Ofa 2026 — Punguzo la Kibabe! 🔥
Pata TCL 4G CPE kwa Tsh 110,000/= tu badala ya 150,000/=! 😍
Unganisha vifaa hadi 32 na pata intaneti ya kasi.





Karibuni katika banda la TTCL mjionee nguvu ya mawasiliano!Pata elimu kuhusu huduma zetu za intaneti ya kasi, simu, Clou...
07/08/2026

Karibuni katika banda la TTCL mjionee nguvu ya mawasiliano!
Pata elimu kuhusu huduma zetu za intaneti ya kasi, simu, Cloud Computing, Data Centre na suluhisho mbalimbali za TEHAMA kwa biashara na matumizi binafsi. Pia, usikose ofa maalum za modem na router kwa bei chee! 🔥

📌 TTCL Government Pavilion 2
📍 John Malecela Grounds, Nzuguni – Dodoma

Address

EXTELCOMS HOUSE, SAMORA Avenue
Dar Es Salaam
9070

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TTCL Corporation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TTCL Corporation:

Shortcuts

Share