Premium Extra

Premium Extra Premium Extra Company Ltd - Beyond The World
Technology, Innovation & Knowledge

For Whole Sales an

01/08/2026

LIEPIAO SYNTHETIC GREASE – ULINZI BORA KWA GARI LAKO! βœ¨πŸ› οΈ

Hakikisha sehemu za mzunguko (moving parts) za gari lako zinafanya kazi vizuri bila msuguano wala uharibifu! πŸš—βš™οΈ

Liepiao Synthetic Grease ni mafuta maalum ya kulainisha (lubricant) yenye ubora wa hali ya juu, yaliyoundwa mahususi kwa magari – kuzuia kutu, msuguano na uchakavu wa haraka wa vipuri. πŸ’ͺ

βœ… Ubora wa Synthetic – hudumu muda mrefu
βœ… Inazuia kutu (rust) na msuguano
βœ… Inafaa kwa bearings, hinges, na sehemu nyingine za mzunguko
βœ… Inastahimili joto na hali ngumu za kazi
βœ… Bei nafuu – 2000 Tzs tu!

Usisubiri mpaka gari lako lianze kutoa sauti za msuguano – kinga ni bora kuliko tiba! πŸ”§πŸ”₯

πŸ“ Tunapatikana: Kariakoo, Mtaa wa Magila na Likoma, mkabala na Kanisa la KKKT
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0627 555 111

Order sasa – matengenezo mazuri huanzia na bidhaa bora! πŸ›’βš‘

01/08/2026

VALVE CAPS ZA KIWANGO CHA JUU βœ¨πŸš—

Ongeza mbwembwe kwenye gari lako kwa Tire Valve Caps za brand yako uipendayo! πŸ”₯

Zaidi ya urembo tu – valve caps hizi zinasaidia kuzuia uchafu, unyevu na hewa kutoka kwenye valve ya tairi lako, hivyo kulinda tairi lako liwe salama muda wote. πŸ’¨πŸ›ž

βœ… Logo mbalimbali
βœ… Ubora wa hali ya juu, hazivunjiki
βœ… Rahisi kufunga – hakuna zana maalum zinazohitajika
βœ… Zinaipa gari lako mwonekano wa kifahari

πŸ’° Bei:
πŸ”Ή Moja – 500 Tzs
πŸ”Ή Seti ya 4 – 2000 Tzs

πŸ“ Tunapatikana: Kariakoo, Mtaa wa Magila na Likoma, mkabala na Kanisa la KKKT
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0627 555 111

Boresha gari lako leo – kianzia kwenye vitu vidogo lakini vyenye impact kubwa! πŸ’―

01/08/2026

SULUHISHO LA HARAKA KWA MAGARI YAKO! βœ¨πŸ”§

Je, gari lako lina bonge dogo? Usijali tena! πŸš—πŸ’₯

Hii ni Car Dent Puller – kifaa cha kisasa cha kuvuta na kurekebisha palipo bonyea kwenye bodi ya gari lako bila kuharibu rangi wala kwenda garage kutumia gharama kubwa! πŸ’ͺ

βœ… Rahisi kutumia – mtu yeyote anaweza
βœ… Inafanya kazi kwa dakika chache tu
βœ… Inafaa pia kwa vioo na sakafu (tiles/glass lifting)
βœ… Bei nafuu – 6000 Tzs tu!

Kwa nini uendelee kutumia gharama kubwa garage wakati unaweza kujitengenezea gari lako mwenyewe kwa gharama nafuu?! πŸ”₯

πŸ“ Tunapatikana: Kariakoo, Mtaa wa Magila na Likoma, mkabala na Kanisa la KKKT
πŸ“ž Wasiliana nasi: 0627 555 111

Order sasa kabla hazijaisha! πŸ›’βš‘

29/07/2026

TIRE VALVE CAP - πŸ›ž

Weka Mbwembwe kwenye matairi ya gari lako! πŸš—βœ¨

βœ… Zinalinda valve ya tairi dhidi ya vumbi na uchafu
βœ… Ubora imara - haziozi wala kuvunjika haraka
βœ… Zinapatikana kwa magari Tofauti Tofauti (Toyota, Benz, BMW n.k) - tuambie unahitaji ipi

πŸ’° Bei: 500/= kwa moja | 2,000/= kwa seti ya nne (tairi zote)

πŸ“ Premium Extra - Dar es Salaam
πŸ“ž Piga simu / WhatsApp: +255 627 555 111
🚚 Delivery inapatikana

29/07/2026

CRYSTAL COATING - PLASTIC PARTS RESTORER ✨

Rudisha mng'ao wa vipande vya plastic vya gari lako! πŸš—πŸ’Ž

βœ… Inasafisha na kulinda plastic parts dhidi ya kuchakaa
βœ… Inamng'ao wa crystal - k**a kipya tena
βœ… Inakuja na sponge maalum ya kupaka
βœ… Rahisi kutumia - paka tu na uache ikauke

πŸ’° Bei: 2,000/= TU!

πŸ“ Premium Extra - Dar es Salaam
πŸ“ž Piga simu / WhatsApp: +255 627 555 111
🚚 Delivery inapatikana

29/07/2026

REVERSING MIRROR / BLIND SPOT MIRROR πŸš—

Ongeza usalama wako barabarani! πŸ‘€

βœ… Inasaidia kuepuka "blind spots" wakati wa kupiga Kona au kurudi nyuma
βœ… Ubunifu wa Convex - inaonyesha eneo kubwa
βœ… Rahisi kufunga na kutumia
βœ… Inafaa kwa magari mengi

πŸ’° Bei: 2,500/= TU!

πŸ“ Premium Extra - Dar es Salaam
πŸ“ž Piga simu / WhatsApp: +255 627 555 111
🚚 Delivery inapatikana

29/07/2026

CAR BUMPER SCREW - SET KAMILI! πŸ”©

Vidogo lakini muhimu sana kwa gari lako! πŸš—

βœ… Vinatumika kufunga bumper, panel na fender liners
βœ… Vinafaa magari mengi (universal fit)
βœ… Ubora imara - havivunjiki haraka
βœ… Rahisi kufunga na kutoa
βœ… Muhimu kwa matengenezo ya gari yako

πŸ’° Bei: 6,000/= TU!

πŸ“ Premium Extra - Dar es Salaam
πŸ“ž Piga simu / WhatsApp: +255 627 555 111
🚚 Delivery inapatikana

29/07/2026

CAR JACK HANDLE - IMARA NA YA UBORA WA HALI YA JUU! πŸ”§

Zana muhimu kwa kila mmiliki wa gari! πŸš—

βœ… Inatengenezwa kwa chuma imara (heavy duty steel)
βœ… Rahisi kutumia wakati wa kubadilisha tairi
βœ… Ubunifu wa hali ya juu - haraka na salama
βœ… Inafaa magari mengi
βœ… Muhimu kuwa nayo ktk gari lako - dharura haziji na taarifa!

πŸ’° Bei: 5,000 TZs

πŸ“ Premium Extra - Dar es Salaam
πŸ“ž Piga simu / WhatsApp: +255 627 555 111
🚚 Delivery inapatikana

29/07/2026

KINGA GARI LAKO NA JOTO KALI LA JUA! πŸš—β˜€οΈ

Car Sunshade Umbrella - inayofunika windscreen yako kwa haraka na urahisi mkubwa! πŸ’―

βœ… Inafaa gari ndogo, ya kati, SUV, MPV, Truck na Business car - MODELI ZOTE!
βœ… Ukubwa: 140CM x 80CM - inatosha vizuri
βœ… Inakinga interior ya gari lako na mwanga wa jua na joto kali
βœ… Rahisi kufungua na kukunja - k**a mwavuli tu
βœ… Inasaidia ma-seat, dashboard na steering wheel kutoharibika kwa jua

πŸ”₯ BEI: 15,000/= TU! πŸ”₯

πŸ“ Premium Extra - Dar es Salaam
πŸ“ž 0627555111 Piga simu / WhatsApp sasa kuagiza!
🚚 Delivery inapatikana

❄️πŸ”₯ COLD ROOM BORA KWA BEI NAFUU – TANZANIA NZIMA! πŸ”₯❄️Unahitaji kuhifadhi bidhaa zako kwa usalama na ubora wa hali ya ju...
24/04/2026

❄️πŸ”₯ COLD ROOM BORA KWA BEI NAFUU – TANZANIA NZIMA! πŸ”₯❄️

Unahitaji kuhifadhi bidhaa zako kwa usalama na ubora wa hali ya juu?
πŸ‘‰ Tunakuletea Cold Room za kisasa, imara na zenye ufanisi mkubwa kwa bei rafiki kabisa!

SIFA ZAKE:
βœ…TEMPERATURE: Up to -18Β°C
βœ…100mm Insulated PU Panels
βœ…Big Size (Custom Size Available)
βœ…380V/50Hz/3Hp or 220V/50Hz/2Hp
βœ…Onsite Installation Service (Delivery Across Tanzania)

πŸ“¦ CHAGUA SIZE INAYOKUFAA:
βœ… 3 Γ— 2.5 Γ— 2.5m (3 Phase) – Tsh 18,000,000
βœ… 3 Γ— 1.8 Γ— 2.1m (Single Phase) – Tsh 16,000,000
βœ… 3 Γ— 2 Γ— 2.1m (Single Phase) – Tsh 17,000,000

🎁 UNAPATA FULL SET (VIFAA VYOTE):
βœ”οΈ Digital Control Box
βœ”οΈ Waterproof Lamp
βœ”οΈ Insulation Amorflex
βœ”οΈ Copper Pipes
βœ”οΈ Expansion Valve
βœ”οΈ Freon Gas R404
βœ”οΈ Air Curtain

🚚 HUDUMA ZETU
βœ… Delivery Tanzania nzima
βœ… Installation free (Bure)
βœ… Ushauri wa kitaalamu bure

πŸ”₯ INAFAA KWA BIASHARA ZA
🐟 Samaki | πŸ₯© Nyama | 🍎 Matunda | πŸ’Š Dawa

πŸ“² Wasiliana nasi sasa
⚠️ Stock ni chache – wahi kabla haijaisha!
TUPIGIE SASA:
Tel: +255745211211
WhatsApp: +8613081102085
9 Kinondoni Morocco Terminal

Address

Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Premium Extra posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share