Hames Grafix

Hames Grafix Your Creative Solutions Partner�|
Let's Design Your Digital Success Story �|
Expert in�
Graphic Designing & Social Media Management
Call Us: 0744969553

30/07/2026

Kwa requirements hizi unaweza kabisa kuanza Biashara yako ya T-shirts Printing

1. Heat press machine
2. DTF Film
3. DTF printer (optional)
4. Mini iron
5. Plain Tshirts

K**a unahitaji among of these requirements DM us kwa usaidizi zaidi

25/07/2026

Watu wengi huamini kazi inaisha baada ya printing tuu.

Ukweli ni kwamba, packaging ndiyo hatua ya mwisho inayoamua mteja atakukumbuka vipi.

Fikiria umemfanyia mteja business cards, stickers au brochure zenye ubora wa hali ya juu, halafu unamkabidhi zikiwa zimekunjika, zimechafuka au zimewekwa kwenye mfuko wa kawaida.

Hiyo inapunguza thamani ya kazi yako.

Kumbuka: Printing bora huonyesha ubora wa kazi yako, lakini packaging bora huonyesha ubora wa biashara yako.

Usikabidhi bidhaa tu—kabidhi experience ambayo mteja hataisahau.

14/07/2026

Ukweli uliojificha kwenye Niche ya DIGITIZATION ambao watu wengi bado hawaujui 🙌

A lot of Designers wanatengeneza pesa nyingi sana kupitia skill hii

DM me kwa msaada zaidi

We do Everything inayohusiana Na Digitization Pamoja na Embroidery

12/07/2026

This is how unaweza Block Adobe Photoshop Na Internet ata K**a uko connected Na Data/WiFi
🇹🇿

08/07/2026

Ivi ushawahi kukutana Na Hii??
🇹🇿

28/06/2026

Branding Inaanzia Nyumbani 😁

Here we Go Guys , Keep Sharing , Keep Earning

❤️❤️

28/06/2026

Kudate Na Designer Ni risk K**a tuu kurudiana Na ex wako😂😂🙌

26/06/2026

Try at your own risk ⚠️

22/06/2026

The new me is Focused

The new me is Hungry

The new me is Amazing

Keep Watching & Let’s all win Guys 🔥🔥🫡

Product Labels from Tz’s 100 per pc (MOQ : 300pcs)

21/06/2026

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hames Grafix posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share